Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In fact GDP ya dar na msa ni almost same...nai GDP is 5 times ya dar
Ndio akili yako inavokutuma au sio maana hio ilikua statistics za 90s kamuulize mwenzako nilimuoneaha GDP ya dar 2017 akafunga mdomo wake rudi page za nyuma utaona hehehhehee hii ndio bongo 2017
 
Hahhahaha siniliwaambia toka mwanzo ingizeni mombasa na kisumu wakawa wanakataa sasa wameingiza wenyewe hahahhahahha
😀😀😀😀

Nairobi is not an Island City fyi. na huwezi compare Nairobi na city yoyote East and Central Africa. Ukitaka kuleta picha za Island, beaches, hotels,,, Mombasa has more better than yours. na tutawachapa nazo maanake hata Mombasa ni imeshinda Dar is slum kwa mbali sana
 
Malaika beach resort Mwanza
malaika-by-nite.jpg
images (31).jpg
3881358_17_z.jpg
Malaika_14.jpg
 
endeleea we mmi sko kwa mashindano...ayo anzisha thread yake kando mwanza na msa
Nilikwambia twende battle ukawa unaringa ringa twende battle baba mm staki maneno mengi hehehehe 😀😀😀😀😀😀😀
 
Nairobi is not an Island City fyi. na huwezi compare Nairobi na city yoyote East and Central Africa. Ukitaka kuleta picha za Island, beaches, hotels,,, Mombasa has more better than yours. na tutawachapa nazo maanake hata Mombasa ni imeshinda Dar is slum kwa mbali sana
Uhahahahhahha nairobi the father of slums world wide acha Africa tu hehehhehe wewe ushindane na 1590 km sq urban area kwa 696 km sq kapimwe akili hahahhaah sio bure......kibera babyyy patamu hapo maana wazungu wanakuja kushamgaa binaadamu wanavoishi kama nguruwe
 
seriously...izi ndio unataka kucompare nakina english point marina.mwanza haiingii kwa msa.kuaccept defeat sio ugonjwa
Twende wewe unaleta maneno mengi sana unajifanya mjuaji labda mm siijui mombasa kanyaga waya twende maneno mengi ya nn
 
fungua thread ingine kando sio apa
Nilikwambia tufungue ukawa unajizungusha hapa unafkiri hii ndio Tanzania ile na tutaenda mkoa kwa mkoa mpaka kieleweke mpaka muingize migori na homabay
 
Nairobi is not an Island City fyi. na huwezi compare Nairobi na city yoyote East and Central Africa. Ukitaka kuleta picha za Island, beaches, hotels,,, Mombasa has more better than yours. na tutawachapa nazo maanake hata Mombasa ni imeshinda Dar is slum kwa mbali sana
Mombasa haiingii kwa dar hata chembe kwenye beaches, resort na island yani hata nukta haiingii niliwaambia ingizeni mombasa humu leteni mutaijua dar ilivo hahahahaha hapo ndo mutaijua dar is a city of pleasure 😀😀😀😀 huku bado Zanzibar inakusubiria hhahhahaa mutatia akili vzr hahahhahhaha
 
Maana sisi tuna city 5 nyie muna tatu na Tanzania kila mkoa wake unajengwa kila pembe sasa tutakwenda chaka kwa chaka mpaka nione migori homabay sijui wapi ziingie humu alaf mutaijua hii ndio Tanzania ya 2017
 
Mombasa haiingii kwa dar hata chembe kwenye beaches, resort na island yani hata nukta haiingii niliwaambia ingizeni mombasa humu leteni mutaijua dar ilivo hahahahaha hapo ndo mutaijua dar is a city of pleasure 😀😀😀😀

kweli hiyo bhangi umevuta leo ni kali.
alafu capital city yenu ni Dar is slum ama Dodoski?
 
Clearly, the Dar is Slummers have run out of good photos to post from that end. The few crackpots remaining here have been reduced to trolling Nairobi and spouting empty braggadocio.
Nairobi's the clear victor in this battle. It was inevitable.....
 
Twende wewe unaleta maneno mengi sana unajifanya mjuaji labda mm siijui mombasa kanyaga waya twende maneno mengi ya nn
Kwan marina sijafika hapo, marina kuna kipi cha ajabu unaenza nambia hapo.....mm nimekwmbia mombasa wewe hunifundishi hata kidogo ndio maana nakwambia hakuna worse city ever seen kama mombasa na kisumu wachana na slums za nairobi maana hizo ni moto mwengine
 
kweli hiyo bhangi umevuta leo ni kali.
alafu capital city yenu ni Dar is slum ama Dodoski?
bangi alinivutisha nyako maber
Kasome baba mbona mm sikuulizi kibera iko mariakani au nairobi 😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom