Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa nn unachoshangaa cha ajabu hebu sema kipi cha ajabu hapo 😀😀😀😀 sehemu zinapopaki hzo basi tena sehem yenyewe ni pembeni kabisa ya mto mkubwa sana dar nzima
Cha ajabu ni kwamba mafuriko yalipotokea Nairobi mwezi mmoja uliopita na kufunga barabara mliteremsha picha humu ndani kana kwamba Nairobi imeporomoka na watu wote waioshio ndani kufa.. Hii leo mafuriko yanafanyika Dar na kuziba uwanja wenu mkubwa wa ndege (mabat rolling mills) pamoja na mabasi ta brt na kuyaita mambo ya kawaida sana. Hayo mambo ya kawaida sana yangefanyika Nairobi mngesimama juu ya mlima kilimanjaro na kutangazia dunia nzima
 
Unauliza walipofika na tayari ushaambiwa it's the only team in east and central Africa with a continental trophy. Nini ngumu hapo kuelewa ama ni chuki ndo zimekukaba hadi kwenye koo?
team isiokua na maendeleo hehe miaka 50 hamuna hata ofisi ya kusingiziwa😀😀😀😀
 
Cha ajabu ni kwamba mafuriko yalipotokea Nairobi mwezi mmoja uliopita na kufunga barabara mliteremsha picha humu ndani kana kwamba Nairobi imeporomoka na watu wote waioshio ndani kufa.. Hii leo mafuriko yanafanyika Dar na kuziba uwanja wenu mkubwa wa ndege (mabat rolling mills) pamoja na mabasi ta brt na kuyaita mambo ya kawaida sana. Hayo mambo ya kawaida sana yangefanyika Nairobi mngesimama juu ya mlima kilimanjaro na kutangazia dunia nzima
kinachoniskitisha zaidi nipale napoona mafuriko yanafika mpaka juu kwenye flyover ndipo hapo najiuliza hio infastructure munayojitapa nayo hapa kila siku haikujengwa kwa kuangalia athari kama hzo, hakuna sehemu uwanja wa ndege umezibwa ile ni parking zone tena mbali sana terminal building, na kuhusu hio sehemu inapolala mabasi hayo ni sehemu iko karibu sana na mto mkubwa dar nzima so kupatwa na floods kwa pale ni inevitable
 
so nioneshe picha kua JNIA ime flood ndani ya airport??? ile picha ni nje kabisa ya airport kwenye car parking zone hapo wewe unashangaa nini??? try to be serious
unaposema "ndani ya airport" unammanisha nini haswa? What's an airport to you? Kama picha inaonyesha wazi parking lot imefurika maji, what makes you think that runway and other impirtant areas if the aiport hakujafurika? Nyinyi ni wabishi sana!!!
 
nimekwambia ni parking area and not inside the airport nikimaanisha kwenye taxiways au runways au aircraft parking areas na hio parking zone iko mbali sana na terminal building

nioneshe floods ndani ya terminal building ukipata nitag😀😀😀

hvi kwa akili yako yakuzaliwa inside airport kujae maji operation zitaendelea??? na lini operations zimesimam kwasababu ya floods???
 
Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
 
Airport ni nini??
 
kinachoniskitisha zaidi nipale napoona mafuriko yanafika mpaka juu kwenye flyover ndipo hapo najiuliza hio infastructure munayojitapa nayo hapa kila siku haikujengwa kwa kuangalia athari kama hzo, hakuna sehemu uwanja wa ndege umezibwa ile ni parking zone tena mbali sana terminal building, na kuhusu hio sehemu inapolala mabasi hayo ni sehemu iko karibu sana na mto mkubwa dar nzima so kupatwa na floods kwa pale ni inevitable
Niletee picha ya Nairobi inayoonyesha cloods kwa flyover. Pili, I thought JNIA is "the biggest and modern airport in east africa". Vipi haikutengenezwa kwa viwamgo zinazoweza ku withstand vitu kama flooding? Tatu, unaposema "hakuna sehemu ya uwanja wa ndege umezibwa" unajaribu kusema kwamba this airport which is "the biggest and most modern" in this region haina parking area? Kuhusu mabasi ya brt, ukweli ni kwamba yalisombwa na maji so yanapolala bi kisingizio. mbona waliweka hiyo eneo karibu na mto? Ndo maana siku zote tunawaambia Dar haina mpangilio hata kidogo
 
Izo ni porojo tu za mtu mwenye anataka sifa, nitumie link ya World Health Organization ya kuprove iyo point yako
official source ziko nyingi tu na hio niliokutumia ni one among them sasa unakataa au unabisha tu😀😀😀
 
Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
ulitegemea wakuandikie car parking area bogus kweli wewe😀😀😀😀
40D99B26-DA33-4C7F-A417-29E84EC19548.jpeg
 
Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
Nisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!
 
We ujinga itakuuwa, unaongea hapa mingi na hakuna chenye unajua, airport doesn't necessarily mean a terminal but it starts from the landing space all the way to runways, plane parkings, garage and to watching towers and terminal
 
Nisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!
Nilikuambia huyu mtu hajielewi. Kazi ni kuongea tu
 
Back
Top Bottom