ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hapo ni sehemu wanapoyalaza magari hayo sehemu hio iko karibu na mto msimbazi panaitwa jangwani nikosa walifanya kujenga pale lakini kwasasa magari yote yameshahamishwa 😀😀😀😀😀 so ni mambo ya kawaida sana

️