ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwa amani unaingia private bro sio hapa mbele za watu😀😀😀😀wacha niombe paja kwa amani😀😀😀
kwa amani unaingia private bro sio hapa mbele za watu😀😀😀😀wacha niombe paja kwa amani😀😀😀
hahahaha sawakwa amani unaingia private bro sio hapa mbele za watu😀😀😀😀
Wakenya wengi wako tu sawa....wachagaa na wapare wa kwenu wameolewa kenya sanaaaa.Umekubari Awe Shemeji yako kweli!
Maana Kwa chuki zako na Wakenya
sidhani kama unaweza kubari dadako Aende kwa mkenya
Mwanaume mgani huyu anatalk kama mwanamke...utoto ndio mmejazawanahela ya kumtunza zuwena hao vilaza ajira yenyewe hawana😀😀😀😀😀
Apo sio cbdasante sana mwenzangu nilikua nataka watazamaji wajione ile cbd tunapigiwa kelele nayo hapa kila siku
kabisa maana kwa ushamba wake anapaita manzese kwa sasa hivi hapaiti tena manzese.......hajui kama ikichukuliwa aerial view ya hilo eneo linachukua karibia sehemu ya makazi yao yote yale ya viestate wanavyovionyesha miaka nenda rudiPamoja na hayo still ameingiwa na kiwewe.
sasa wewe ndo bogus umeomba uletewe aerial view ya k/nyama,umepewa!!na we leta hiyo cbd yako tuione..wote humu tuna akili timamu tuta-compare!!hatutaki mboyoyo mingi budaa!!Mwalimu wako alikua na kazi ngumu sana ya kutoa ujinga.....wacha nikuache tt lakini watu wameiona kijitonyama cbd
Ushaambiwa kabla.. sasa nenda kacheki the past threads za view ya kijitonyama at its presentHapa hakuna kesi sasa kila kitu tumefunga upande wa kijitonyama sasa leta aerial view ya upanga
hahahah ukweli mchungu enhhh😀😀😀😀😀Mwanaume mgani huyu anatalk kama mwanamke...utoto ndio mmejaza
Hahaha HII NI KILELESHWAYou don't accept the fact that Yanga, Simba and Azam fc are the Largest football clubs in the region, do you?
Just to remind u there is no stadium in Kenya qualified to host any English football club,
And besides, this is the only thing your Gor mahai have,
Tuzo 😀 😀 😀 😀 😀
View attachment 764061
ALAFU HII NI GOR MAHIA... [HASHTAG]#LETA[/HASHTAG] FUJO UONE SHIENZY!!Hahaha HII NI KILELESHWA View attachment 764595
[HASHTAG]#NAIROBI[/HASHTAG] FOR LIFE...ww usiumize kichwa bure nimekwambia fikeni sehemu kijitonyama imefika alafu utumie neno CBD nairobi yote CBD ni moja tu hakuna sehemu nyingine😀😀😀
dont cry like a small child.....bogus
huoni aibu???😀😀😀😀😀😀 baada ya kuchoka kutuonesha renders sasa munatuonesha edited pictures leo nimecheka sana aisee sio kwa povu hili😛😛😛😛 @Jay456watt,IamLee ,Bottas ,LightYagami , aisee msaidieni ndugu yenu nimecheka sana leoALAFU HII NI GOR MAHIA... [HASHTAG]#LETA[/HASHTAG] FUJO UONE SHIENZY!! View attachment 764612 View attachment 764612
tuoneshe ofisi ya gor mahia😀😀😀😀
na ukileta ofisi ya gormahia nitag plz
mfano hii ni ofisi ya yanga sasa tuletee ya gor mahia
View attachment 764119 View attachment 764120
azam fc
View attachment 764121 View attachment 764122
simba fc
View attachment 764124 View attachment 764125 View attachment 764126
yani nimecheka sana leo alafu anajiona amepatia mwenyewe😀😀😀😀😀😀 ila wakenya sifa zitawanyongamuoneni huyu
huoni hapo wameandika edited?
plz onyesha the real pic ya bus letu either imepark sehem au ipo njian inategemea, hio ya kwenu imeeditiwa View attachment 764629