Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
http://observer.ug/news/headlines/57532-port-bell-to-kampala-rail-line-due-to-re-open.htmlna bado kweli si uongoNa bado😀😀😀
![]()
http://observer.ug/news/headlines/57532-port-bell-to-kampala-rail-line-due-to-re-open.htmlna bado kweli si uongoNa bado😀😀😀
![]()
Huyu Mwasiti ana landalanda Kenya nzima kutuletea picha😀😀 Dar inamnyima usingizi. Mwambie atuonyeshe BRT Only😀😀😀kama sio nairobi umepost ili iweje 😀😀😀😀 au unawashwa wataka kukunwa
sasa hizo nazo slums??we unazijua slums wewe??hizo ni nyumba za kawaida ila mabati kweli yana kutu lakini kuna nyumba Kali tu huwezi kufananisha na mabanda ya kibera...whoever said kibera is the largest slum should have his head checked!
sasa hvi wanapambana na floods 😀😀😀Huyu Mwasiti ana landalanda Kenya nzima kutuletea picha😀😀 Dar inamnyima usingizi. Mwambie atuonyeshe BRT Only😀😀😀
April 24, 2018
Mafuriko ya makubwa jijini Nairobi, Kenya
Magari yalisomba na maji ya mafuriko katika eneo la Ruai huku mamia ya watu wakiathirika pakubwa katika mitaa ya jiji la Nairobi kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mamia ya watu wameacha bila makao huku maporomoko ya ardhi yakitatiza usafiri katika barabara za kaunti ya Murang’a.
Source: Kenya CitizenTV
wakenya endeleeni kulia tu tusaanza kusambaza mabomba ya gas jana kuelekea majumbani
wengi wamefungua vyoo vyao kukwepa gharama za kuja kunyonya😀😀😀😀na mvua hii kibera hakukaliki..
Hawajui kati ya slum na unplanned settlement😀😀😀sasa hizo nazo slums??we unazijua slums wewe??hizo ni nyumba za kawaida ila mabati kweli yana kutu lakini kuna nyumba Kali tu huwezi kufananisha na mabanda ya kibera...
And still not use sub standard dar port 😀😀😀
Reli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa 😀😀😀 Port of kisumu kupata kazi zaidi😛😛😛😛
hatuna haja nawewe kutumia ila tutakufundisha kwenye kuchukua wateja😀😀😀😀😀And still not use sub standard dar port 😀😀😀
Nairobi nzima inanuka kinyesi cha Kibera😀😀😀wengi wamefungua vyoo vyao kukwepa gharama za kuja kunyonya😀😀😀😀
hehehe port ya kisumu iko wapi ndio hii😀😀😀Reli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa 😀😀😀 Port of kisumu kupata kazi zaidi😛😛😛😛
Kisumu mna meli yakubeba mabehewa ya reli ??Reli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa 😀😀😀 Port of kisumu kupata kazi zaidi😛😛😛😛