Locci
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 1,002
- 826
mbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..mbezi
![]()
mbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..mbezi
![]()
huyo roho inamuuma sana washaona wamezidiwa sasa roho inawauma ile mbaya😀😀😀😀😀mbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..
Huyu dishi liliyumba zamani. Jina lake ni Zero Brain😀😀😀mbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..
jamaa ana utani sana huyu!!mi nishawahi kutia timu maeneo hayo ya kibera mi mwenyewe nili-freeze!!anataka kufananisha na hzi😀😀😀😀😀
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ona hii sasa dandora nairobiOoh my God ! 😱😱 Dunia simama nishuke😳
Oooh mama ! 😱😱 Mvua ikinyesha unalala na pamba masikioni😀😀kwa mbali naona nairobi CBD😀😀😀😀
WATU WANAISHI KWENYE NYUMBA ZA MABATI
![]()