Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mulisaaa njoo hapa hiio ndio mnaita Morocco cbd na nyuma ya majengo matano ni vibanda vya ngurue😀😀😀😀😀😀😀
Hii ndio ile "cbd" yao wanalinganisha na westy. Hii hata Kilimani imeshinda mbali sana
 
Hii Kibera mnaimba imba hapa imetoa watu sahizi wako na pesa Kama kina Octopizo na Weh fala unashinda ukijidai OHH kibera this kibera that we mwenyewe huwezi fika hata bei ya mshipi YAKE aty Unaishia Dar? Bullshit.... Masikini WA kibera akifika Tz na 20 Bob ya kenya already ni sonko.... [HASHTAG]#Alikiba[/HASHTAG] na Diamond WOTEH tumewameza na bado..... Mtajua hamjui
 
hii ni dalili ya hasira au ghadhabu😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…