Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huwa naogopa kuku engage jinsi ulivo teen kiakili jizee kuukuu la 60sπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€umenyoa mvi na cabbage kwenye makwapa lakini?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini ni just jokes
ni kweli mi ni jizee la 60s na wala sijari[emoji23].

shida yangu ni wewe kijana wa 20s na tabia yako ya "use.nge_nyaji".

mungu akikuweka hai ukafika umri kama wangu wa 60s utakuwa tayari ni "mse.nge_nyaji" uliyekubuhu.[emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sawa mzee
 
Dar es salaam

Yani since hii thread kuanza naona buildings tatu za blue na vibanda Mia moja hapo CHINI kwani nyinyi watu WA Tz hamna kitu ingine mpya... Nkt!! Mna Boo... Na kwa wale mnadiss KIBITCH kwani hamjui huko ndio maceleb hutoka... Dar mnajichocha na diamond alikiba wooteh wanaishi Nai including Mr nice mwenye NI hustler ghetto
 
kama hapa unaona tower mbili,nai sidhani kama unaona kitu zaidi ya twiga wa polini.
 
chakwanza karibu sana mgeni jamii forum πŸ˜€πŸ˜€

wakenya pateni hiyo kwanza ....watu namapafu yao wakikandamiza show
 
wakenya ni wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…