Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa
uuE4x9x.jpg
 
moja kati ya habari kubwa zinazo trend kwenye blogs za kenya ni kuhusu mwanamuziki maarufu wa tz ali kiba kufunga ndoa na binti wa kikenya toka county ya mombasa.

inasemekana kwamba familia anayotoka binti huyo ni ya kipato cha chini. hata makazi ya nyumba yao si ya kuvutia sana,jambo lililomfanya ali kiba kuingia gharama ya kuihamisha familia hiyo toka katika makazi yao duni ya awali na kuipangishia familia hiyo katika nyumba yenye hadhi nzuri.

hongera sana ali kiba kwa moyo huo wa upendo uliouonyesha kwa wakwe zako wa kenya.

hii inatoa picha kwamba wakenya wengi ni maskini ila walichotuzidi ni sifa tu za kijinga. povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 747648View attachment 747649View attachment 747650
alaf atakwambia watanzania hawana pesa😀😀
 
Hili tangu 2013 liko hivyohivyo
Leta jengo.lingine
Si umesema yapo zaidi ya moja
Sileti lingine kabla uniletee jengo moja tu la 20flrs nje ya dar😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ukipata unitag😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
yani mpaka huruma 😀😀😀😀 kama hamuna pesa simuache tu 😛😛😛😛😛@Bottas
1685A82F-769E-42BE-AFF9-AA1C41FB8549.jpeg
 
moja kati ya habari kubwa zinazo trend kwenye blogs za kenya ni kuhusu mwanamuziki maarufu wa tz ali kiba kufunga ndoa na binti wa kikenya toka county ya mombasa.

inasemekana kwamba familia anayotoka binti huyo ni ya kipato cha chini. hata makazi ya nyumba yao si ya kuvutia sana,jambo lililomfanya ali kiba kuingia gharama ya kuihamisha familia hiyo toka katika makazi yao duni ya awali na kuipangishia familia hiyo katika nyumba yenye hadhi nzuri.

hongera sana ali kiba kwa moyo huo wa upendo uliouonyesha kwa wakwe zako wa kenya.

hii inatoa picha kwamba wakenya wengi ni maskini ila walichotuzidi ni sifa tu za kijinga. povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 747648View attachment 747649View attachment 747650

Si huwa mnasema Kenya hakuna warembo. Hivi Ali Kiba na huu uceleb wake katembea Tz nzima hakupata mrembo hadi akaja Kenya?
 
hii habari nayo ina trend sana huko kenya... but you wont see kenyans sharing it here.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 747721View attachment 747722View attachment 747725View attachment 747726

NB:
hivi kwanini mashoga wengi nchini kenya ni wakikuyu?. kama huna jibu basi ruksa kutoa povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapa hawawezi kuja na wakija lazima watakuja na povu!!andaa wiper mkuu..
 
Si wauze lile bus lao la coaster!! Au halita tosha au tayari liko juu ya mawe!!
ni chakavu sana body ya kuchonga kwa kifupi pale hakuna gari team kubwa kama ile kenya haina hata ofisi😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom