Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mpaka huruma aisee😀😀😀😀
1-64.jpg
duh hivyo ni vibanda vya gongo au watu wanaishi??
 
nimekuwa najiuliza kwanini hawa morgan heritage wametumia picha waliyopiga na mwanamziki mtz diamond platnumz ku-promote project yao kule instagram badala kutumia picha waliyopiga na mwanamziki yoyote maarufu nchini kenya.

nimepata jibu kuwa diamond ni maarufu zaidi ya wanamziki wote wa kenya, diamond ana mvuto zaidi wa kisanaa kuzidi wanamziki wote wa kenya,diamond ni brand kubwa africa kuzidi wanamziki wote wa east and central africa.

ikumbukwe kuwa hawa morgan heritage wana mapenzi makubwa na nchi ya kenya mpaka ikafika wakati wakataka kuhamishia makazi yao nchini humo, lakini kwenye ku promote project yao, wameamua kutumia picha waliyopiga na kijana wa kitanzania diamond platnumz.

hakika waliosema "real recognizes real" hawakukosea.

viva tanzania.hakika
IMG_20180416_235213.jpg
 
moja kati ya habari kubwa zinazo trend kwenye blogs za kenya ni kuhusu mwanamuziki maarufu wa tz ali kiba kufunga ndoa na binti wa kikenya toka county ya mombasa.

inasemekana kwamba familia anayotoka binti huyo ni ya kipato cha chini. hata makazi ya nyumba yao si ya kuvutia sana,jambo lililomfanya ali kiba kuingia gharama ya kuihamisha familia hiyo toka katika makazi yao duni ya awali na kuipangishia familia hiyo katika nyumba yenye hadhi nzuri.

hongera sana ali kiba kwa moyo huo wa upendo uliouonyesha kwa wakwe zako wa kenya.

hii inatoa picha kwamba wakenya wengi ni maskini ila walichotuzidi ni sifa tu za kijinga. povu ruksa.
IMG_20180417_163133.jpg
IMG_20180417_163156.jpg
IMG_20180417_163209.jpg
 
moja kati ya habari kubwa zinazo trend kwenye blogs za kenya ni kuhusu mwanamuziki maarufu wa tz ali kiba kufunga ndoa na binti wa kikenya toka county ya mombasa.

inasemekana kwamba familia anayotoka binti huyo ni ya kipato cha chini. hata makazi ya nyumba yao si ya kuvutia sana,jambo lililomfanya ali kiba kuingia gharama ya kuihamisha familia hiyo toka katika makazi yao duni ya awali na kuipangishia familia hiyo katika nyumba yenye hadhi nzuri.

hongera sana ali kiba kwa moyo huo wa upendo uliouonyesha kwa wakwe zako wa kenya.

hii inatoa picha kwamba wakenya wengi ni maskini ila walichotuzidi ni sifa tu za kijinga. povu ruksa. View attachment 747648View attachment 747649View attachment 747650
Haha hizi nyumba za block si ndizo zimetapaka Dar yote like 90%?
na mabati zimerust
 
Back
Top Bottom