Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mdogo mdogo kiukweli bongo movie ilibidi iwe mbali sana......Tunazidi kusonga mbele Kwenye music tumeshaanza kutawala Africa sasa hivi kwenye movie tunakuja kwa kasi
View attachment 744999
yaani kunumba......r.i.p kuna mambo alikuwa anayapush yaan ni far sana