Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I think u refering to what is happening to nairobi buildings, majengo yetu hayapo empty matter fact population ni kubwa, new companies zinafunguliwa kila siku, tourist flowing unategemea the buildings zikae empty unajidanganya sana kijana..njoo fanya research tena research then tuongee
Population kubwa lkn wanarent uko kariako..kwa 10storey 1 room sharing toilet..... Na some kiswahili houses
 
Kumi na saba na hio ndio tallest in mwanza, alafu wanalinganisha hicho kijiji na mombasa abayo iko na majengo 8over 20flrs
Mmmhhh mombasa haina jengo la over 20flr
Kulikuwa na jengo la 22flr walokuwa wanajenga ila halijaisha
But hakuna over 20flr
Leta ushaid kama unao
 
Tunazidi kusonga mbele Kwenye music tumeshaanza kutawala Africa sasa hivi kwenye movie tunakuja kwa kasi

upload_2018-4-15_8-35-25.png
 
Mmmhhh mombasa haina jengo la over 20flr
Kulikuwa na jengo la 22flr walokuwa wanajenga ila halijaisha
But hakuna over 20flr
Leta ushaid kama unao
owy0ZPI.jpg
besabu hilo bila kwenda mbali *****😀😀😀😀😀😀
 
Hesabu gorofa za mombasa ambazo zinakaria ama kuendelea kujengwa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Picha zingine zitanyesha *****😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Si ndo hiyohyo moja picha ni katika different angles
Yaan zaidi ya hilo hakuna
 
Si ndo hiyohyo moja picha ni katika different angles
Yaan zaidi ya hilo hakuna
Sasa mbona unahamisha goli ulikuwa umesema hakuna over 22floors nikakuletea hili liko kizingo, lenye unasema ndio hili liko nyali
sh-11.jpg
saheena malina apartments wacha kuhaha 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Narudia hii ni phase one na i picha iko skyscrapercity kutoka 2016 nyumba zenyewe hazikupita mia mchina akaumia kwasababu hamkununua yaaani hamna hela nyi maskini wa kutupwa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱😱😱😀😛😀Ukipata phase 2 unitag, nastaki phase 1niliona kutoka 2016 *****😀😀😀😀😀😀😀
 
Si ndo hiyohyo moja picha ni katika different angles
Yaan zaidi ya hilo hakuna
Sasa nataka unitag Ukipata tu jengo moja la 20floor nje ya dar mama😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Sasa mbona unahamisha goli ulikuwa umesema hakuna over 22floors nikakuletea hili liko kizingo, lenye unasema ndio hili liko nyaliView attachment 745005 saheena malina apartments wacha kuhaga 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nimesema hamna over 20 iliyokamilika
Ila ipo 22flr pekee iliyo under construction ambayo ndo hyo
 
I think u refering to what is happening to nairobi buildings, majengo yetu hayapo empty matter fact population ni kubwa, new companies zinafunguliwa kila siku, tourist flowing unategemea the buildings zikae empty unajidanganya sana kijana..njoo fanya research tena research then tuongee
Mimi siongei maneno matupu kama wewe mbali niko na ushahidi na ndio huu
84C22622-9176-4251-9827-5779002A83B5.jpeg
sasa wewe niletee ushahidi yako na tenants *****😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱 Ama ata wewe utasema kama mulisaa tenants wote wamezima taa za stima ispokua ghorofa tano tu eeh? Mbavu zanguu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nimesema hamna over 20 iliyokamilika
Ila ipo 22flr pekee iliyo under construction ambayo ndo hyo
Sasa mbona unajifanya huna macho hayo ni majengo mawili tofauti moja 22 lingine 25 flrs alafu unasema nini😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Leo nakushika makei hadi utii😛😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom