Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,078
- 1,425
Halafu ndio wanafananisha hili jiji na Nairobi smhWasomali wanafurahia Tanzania.
Kutana na mmiliki wa City Mall




Halafu ndio wanafananisha hili jiji na Nairobi smhWasomali wanafurahia Tanzania.
Kutana na mmiliki wa City Mall




We unaishi..MombasaMmmhhh mombasa haina jengo la over 20flr
Kulikuwa na jengo la 22flr walokuwa wanajenga ila halijaisha
But hakuna over 20flr
Leta ushaid kama unao
Hii kitu nawapa big up aseeeh!Tunaingia kwenye soko la Asali duniani. Hivi huko kenya kunanini?
![]()
![]()
Idadi ya majengo yaliyo onekana ni kubwa kuliko majengo ya Mombasa nzima
Tangu ulivyo jua kiswahili vipi ulikunya diamond.au tangy mujue kiswahili vipi kina mama walipunguza kubeba samaki cbdWewe acha kusifia Lugha za watu tangu ulivyojua kingereza vipi ulikunya Diamond.Au tangu mujue kingereza vipi slums ziliiisha??
subiri 20220 dar wamelizie expansion alf utajua tunaongea nn 😀😀😀😀😀
Eti Africa....labda Kenya pekeeTunazidi kusonga mbele Kwenye music tumeshaanza kutawala Africa sasa hivi kwenye movie tunakuja kwa kasi
View attachment 744999
Mr itel
Nakupatia picha ya phase 1and 2 majengo yakiwa pamoja. Kwa taarifa yako wanapanga kuanza ujenzi wa skyscrapers Dar es salaam na DodomaNarudia hii ni phase one na i picha iko skyscrapercity kutoka 2016 nyumba zenyewe hazikupita mia mchina akaumia kwasababu hamkununua yaaani hamna hela nyi maskini wa kutupwa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱😱😱😀😛😀Ukipata phase 2 unitag, nastaki phase 1niliona kutoka 2016 *****😀😀😀😀😀😀😀
achana nae huyo kichaa 😀😀😀😀Nakupatia picha ya phase 1and 2 majengo yakiwa pamoja. Kwa taarifa yako wanapanga kuanza ujenzi wa skyscrapers Dar es salaam na DodomaView attachment 745185 View attachment 745183
Ww ndiyo nikuulize umefaidika nini tangu ujue kingereza . Maana unakiona kingereza kama Lugha ya Malaika kila siku unabeza Watiz Oooh hawajui kingereza nikakuuliza wewe tangu ulivyojua kingereza umekunya dhahabu hujajibu swali unauliza swali kweli wewe kilaza.Au ume share choo kimoja na TrumpTangu ulivyo jua kiswahili vipi ulikunya diamond.au tangy mujue kiswahili vipi kina mama walipunguza kubeba samaki cbd
Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
sasa hvi ujenzi na expansion ushaanza toka mwaka jana na 2020 wanakamilisha kaa mkao wakula ndugu
Nani amesema niya malaika..na wewe.kiswahili kimekusaidia aje....tangu ujueWw ndiyo nikuulize umefaidika nini tangu ujue kingereza . Maana unakiona kingereza kama Lugha ya Malaika kila siku unabeza Watiz Oooh hawajui kingereza nikakuuliza wewe tangu ulivyojua kingereza umekunya dhahabu hujajibu swali unauliza swali kweli wewe kilaza.Au ume share choo kimoja na Trump
Jibu swali unaongea matapishi gani umekula githeri mchana huu au??Nani amesema niya malaika..na wewe.kiswahili kimekusaidia aje....tangu ujue
Yah ....bongolalaMr itel
We ushai fika Mombasa ama pang'ang'aIdadi ya majengo yaliyo onekana ni kubwa kuliko majengo ya Mombasa nzima
Unataka nikuoneshe picha zangu nikiwa msa?We ushai fika Mombasa ama pang'ang'a