Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unitag zikipata tenants 😀😀😀😀😀😀😀
we lia tu ila umenifurahisha kubadilisha style ya kulia 😀😀😀😀😀 au endelea kutuonesha ila tembo yenye mkia mrefu inaitwa pinnacle na montave
 
uhaha mfamaji haishi kutapatapa😀😀😀😀
Leta picha ya2018 kama taa zikiwakaa ivo, sio testing ya stima 2014 na picha yenyewe umetoa skyscrapercity 😀😀😀😀😀😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀Ukipata picha ya 2018 kama majengo yote matatu yamewaka ivo unitag ila kwa sasa
84C22622-9176-4251-9827-5779002A83B5.jpeg
ukweli ndio huu tembo mweupe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Leta picha ya2018 kama taa zikiwakaa ivo, sio testing ya stima 2014 na picha yenyewe umetoa skyscrapercity 😀😀😀😀😀😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀Ukipata picha ya 2018 kama majengo yote matatu yamewaka ivo unitag ila kwa sasaView attachment 744739 ukweli ndio huu tembo mweupe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
utalia sana safari hii na bado mwiba mwingine huo
***** safari hii maji mtaita mma😛😛😀
wapi render pinnacle na montave🙄🙄 hua napenda kuona render zinavomeremeta
792A0072-045A-42FB-A018-6801177039CB.jpeg
 
Kumi na saba na hio ndio tallest in mwanza, alafu wanalinganisha hicho kijiji na mombasa abayo iko na majengo 8over 20flrs
uhahaha yakwapi tuoneshe usihofu kutuonesha na renders pia 😀😀😀😀😀😀😀
 
Umewekewa twin apartment block each 20flrs sasa mbona unaleta jengo la gorofa 5 wacha hasira bana😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😛😀😀😀😀😀😀Alafu ukipata jengo la over 20flrs nje ya dar unitag😀😀😀😀😀😀😀
twin ziko mbili mombasa nzima hehe alaf unasema nane hebu tuoneshe usione aibu kutuonesha na renders pia😀😀😀😀😀😀😀 safari hii nimeshika makei
 
Back
Top Bottom