Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Then why is your brother tuusan comparing your yet to be terminal with our complete and operational terminal? You should have told him that not me.

If it was a more smarter person, I would assume it's a typing mistake but you? Then I would have to term all your posts as typing mistakes since non of them makes sense.

We are used to you dumbasses always thinking you are the smartest people on earth. But as they say dumb people are the one who always think they are the smartest. Misifa tu ndio mmekalia.
 
hii kitu inawatoa wakenya roho😀😀😀
6D542859-23D3-4847-AFB3-155694A284CF.jpeg
 
We are used to you dumbasses always thinking you are the smartest people on earth. But as they say dumb people are the one who always think they are the smartest. Misifa tu ndio mmekalia.
hao usisumbuke nao wanaumia sana kuona leo tz inafanya wonders within short time of period na mm nakwambia by 2019 mwakani hutaona mkenya hata mmoja humu ndani😀😀😀😀 hujiona wao wako mbali kumbe wamerudi nyuma
 
Najua anachotafuta ndio maana ana-attack personality yangu lakini mimi na-spot mtu insecure from a mile away. Wanatapa kuona TanzaniaTunawapita kila idara. Walikuwa wanaringia jkia, haya tumeipiga chini hawaamini.😀😀😀
 
Najua anachotafuta ndio maana ana-attack personality yangu lakini mimi na-spot mtu insecure from a mile away. Wanatapa kuona TanzaniaTainawapita kila idara.😀😀😀
kila sector kwao ni mwiba yani sector waliobakiza inapumua ni moja tu bandari zilizobaki zote ziko ICU zinapumulia mashine😀😀😀😀😀
 
hio kitu inaisha mwaka huu bro ni mwiba mkubwa sana kwa wakenya 😀😀😀😀
Najua sema napigia na miradi ya barabara, reli na viwanja vingine maana tz sidhani kama kuna mkoa ambao hauna project ya kitaifa inayoendelea
 
Najua sema napigia na miradi ya barabara, reli na viwanja vingine maana tz sidhani kama kuna mkoa ambao hauna project ya kitaifa inayoendelea
SGR dar to moro 2019
the modern electric train in africa
 
hehe...wanajenga sie tumekuwa tukitumia hii yetu kana kwamba ni choo...tumeshazoea...kule kwao hii ndio wanaita maendeleo wanashabikia na kupop champagne😀😀😀😀 vitu vya kawaida vinawapa kiwewe...enyewe LDC ni LDC tu😀😀😀
ter6.jpg
T1A-IMAGE.jpg
uk4.jpg
parking.jpg
jk1.jpg
Jomo-Kenyatta-International-Airport-JKIA-Nairobi-Kenya.jpg
jkia-terminal-1a-790x493.jpg
term-1.jpg
JKIA-T204-350x500.jpg
t2.jpg
 
wanashabikia airport utadhani ni ya kwanza duniani😀😀😀😀mi nakwambia airport yet ya town ndogo kama isiolo au malindi ni bora kuliko hii kitu mnashabikia kana kwamba sijui mnaishi msituni...kwani airport terminal ndo nini bana?😀😀😀train station ya nairobi na mombasa tu ni bora kuliko hizi airport mnaimba hapa😀😀😀
malindi-airport.jpg
0fgjhs13rgmhbceovg.2b9f5950.jpg
 
Give us the traffic numbers to this white elephant built by tenderprenures
 
train station ya Nairobi tu inawatia aibu in terms of infrastructure na hata arrivals...airport haijafika hata arrivals mil 2 mtu anaimba imba hapa wakati joburg ina handle mil 20...JKIA ina handle mil 8...addis ababa ina handle mill 9...Cairo mil 20
 
Back
Top Bottom