Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

always planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
 
nothing beats a brt on a 12 lane superhighway. ......Tanzanians wanaskia kulia coz we shall steal the only thing they have....lol.Mcheke mlie 600 brt s by December. ......mtajua hamjui
tuoneshe hio 12lanes labda 12lanes have lost its meaning
 
always planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
naomba utuoneshe 12 lanes naisubiria hapaπŸ˜€πŸ˜€
 
thanks for watching citizen tv....the largest tv station in Eastern and central Africa
uhahahaha rudia????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na azam tv kiboko ya wanaume unaeka wapi
au umeisahau ndio ilimfukuza wanjala humu ndani
 
Hebu leteni picha tuzione
picha zishaletwa........yaani termina 1 na 2 zipo upande tofauti kabisa na hiyo terminal 3 kiasi cha kwamba ukitaka kupata muonekano wa pamoja lazima picha upige kwa mbaali sana ukiwa juu......

tofauti na hiyo yenu zimebandana sehemu moja kwa mchoro wa zero
 
Tumewazidi nyumba Za maana ,hotels mlikaa ,kitu mmeweza ni thika highway naona sasa mmeanza ibadili matumizi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kweli mmetuzidi nyumba za maana. Zile dream houses nyumba za gable zenye mabati zilizorust na kutapakaa kila mahali bila mpangilio
 
kutoka terminal 1 kwenda ViP terminal lazma uende na gari na kutoka VIP kwenda terminal 2 lazma uende na gari na kutoka terminal 2 kwenda 3 ndio mbali zaidi
 
always planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
Phase 1 ukiisha plan ni kufika Dodoma. ..450km
 
uhahahaha rudia????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na azam tv kiboko ya wanaume unaeka wapi
au umeisahau ndio ilimfukuza wanjala humu ndani

azam tv ni popular hapo dar tu ilijaribu Kenya ikalemewa na mababe kina Citizen. ...
Only Aljazeera and CNN can compete citizen tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…