ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndio zao hawa kwani siwajui ashaambiwa urban city lakin akili yake haikubali hawa ndio walivo kwan siwajui hawaHahahaha... Anataka kulazimisha kupita njia ya mkato japo ina miba mingi na vilipuzi vya alshabab vilivo chimbiwa chini.