Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi mwenyewe niko Hurlingham,
Na sijawahi fika kibera na Si mbali..
wakenya wengi Nairobi wajui kibera Iko Wapi Si kama Dar ni slum three quarter.
😀😀😀 nyako maber nimetaja slum tatu population zake almost 80% ya population in nairobi. Kibera= 2.5m. Mathare=0.5m. Makuru kayaba= 0.7m hehehhehehe hebu add those 3 slums alaf uje tuongee
 
Okay: Watch this video and then uje na adabu siyo kuongea ujinga ujinga. Please watch it.


dah mpaka huruma imeniingia dar baadhi ya maeneo kuna mazingira mabovu lakini kwa hapo nairobi mmepitiliza aisee mpaka huruma mazingira hayo si poa
 
jamaa wamejitoa ufahamu,wameamua kukomaa ku-repost picha za vigorofa vya kenyatta na moi avenue.
 
dah mpaka huruma imeniingia dar baadhi ya maeneo kuna mazingira mabovu lakini kwa hapo nairobi mmepitiliza aisee mpaka huruma mazingira hayo si poa
Mimi mpaka nimelia....kilio cha mtu mzima.huruma sana.wakenya wanatia huruma sana.so sad.
 
Cape town ni world class city na kuna slum kubwa...6%
Nairobi ni world class city na kuna slum 9%
Dar Si world class city na 70% ni slum.
Uhahahahhahah naomba add those no usiache hhehehhe
Kibera 2.5 m, mathare 0.5m, kayaba 0.7m alaf tuendelee na slums zingine hahahhaahahahhahah
 
Niliskia Dar mmeanza kujenga flyover ya kwanza juzi....I just hope when you finally finish building it you don't make that day a national holiday.
Yani, flyover ya kwanza tangu 196o...mlikosea wapi?
Sio ya kwanza inayojengwa sasa niya tatu na zote za kikubwa hahahaha tens ubungo interchange itakua ya kipekee east and central Africa aaahahahah
 
Okay: Watch this video and then uje na adabu siyo kuongea ujinga ujinga. Please watch it.


Du!! Kweli kuna watu wanawashindikiza wengine Duniani!!
Kenya hii watu wanaishi kama kuzimu hivi!!
uchumi wa kati!!
 
Kibra is known world wide but its surprising 70% of you guys live in slums so there is a probability of 0.7 of u posting inside a informal settlement.
Kibra is being upgraded btw
f935aae2233923371495cfd4dc63b0ea.jpg

Kibera has a pop of about 150000 unlike thought before
Kwa kwa kibera is 2.5 million people usichange mada hapa hhhahhahhahah inaingia akilini kibera iwe hio wakat kayaba ina 0.7 million people, we mzima kweli hahahhaahah unachekesha sana wewe
Screenshot_2017-04-02-18-29-23.png
 
70 % ya dar...in fact dar is only the cbd places zingine ni mazishi....was there last year and your city is pathetic even if u try to paint it..its only the cbd that can considered at least modern
Hapo je hahahhaahahah
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
tunaongelea urban city baba usibadilishe gear angani hahahhhahahahahha naivasha ni city?????? Au ndo nyege zenyewe hzo
Hahahaha... Anataka kulazimisha kupita njia ya mkato japo ina miba mingi na vilipuzi vya alshabab vilivo chimbiwa chini.
 
Mimi mpaka nimelia....kilio cha mtu mzima.huruma sana.wakenya wanatia huruma sana.so sad.
Da!! Kiukweli nimemuonyesha video hiyo wife da!!
Alivyo na uchungu kalia kiukweli
kuona mwanamke anavyo jieleza kwa machungu!!
Kiukweli Kenya Bado bado
kuna wakenya wanaishi kama Mbwa ndani ya Kenya yao
nihuruma
 
Da!! Kiukweli nimemuonyesha video hiyo wife da!!
Alivyo na uchungu kalia kiukweli
kuona mwanamke anavyo jieleza kwa machungu!!
Kiukweli Kenya Bado bado
kuna wakenya wanaishi kama Mbwa ndani ya Kenya yao
nihuruma
 
Wakenya mtuletee video za dar
zikionyesha Mabanda na maisha kama hayo
labda mimi sijaitembea vizuri dar
maana nimeishi dar miaka 17 sasa
sijawai kuona vijumba vyakufugia Nguruwe akiishi mwanadamu no no no
 
Back
Top Bottom