Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hebu imagine hii ni part ya ilala dar es salaama sehemu hujawah hata kuisikia humu ndani😀😀😀😀
A4AE5BEA-CEF2-409C-A746-CCE14554C5EC.jpeg
 
baada ya rwanda kukubali kujiunga na tanzania kwenye SGR sasa burundi hao
 
nawaona wanavyoiruka hii post kama hawajaiona vile... dah
wanairuka ila ujumbe umewaingia ndani ndani kabisa.

niliwahi kusema siku za nyuma na leo narudia tena, kenya haina msanii mwenye vitegauchumi vikubwa kulinganisha na vitegauchumi vya diamond platnumz.

wasanii wao wenyewe wanaishia kufanya tour kwa counties unatemea nini?...
 
mashine imeshaingia tayar
So mtapanda from 1350 megawatts to 1600 megawatts by 2025? Hahahaha always behind Kenya.
1750+ 240 jibu utalipata 😀😀😀
alaf hapo hapo kinyerezi 3 400mw ujenzi ushaanza
 
tumeshawarudishie mtu wenu baada ya kula kisago kitakatifu😀😀😀😀
8F911E92-5D88-40A6-A8FF-CBDA8CF1F3C2.jpeg
 
You are talking about outering road ambayo bado inajengwa. Hata saa hii kuna sehemu bado zinachimbwa, taa za barabara hazijawekwa na hata footbridges pia bado. And why did you just mention outering? coz unajua bado inajengwa. Ndugu yangu, kama kuna sehemu Dar haipaswi kujilinganisha na Nairobi ni sekta ya barabara. Nairobi has better roads kucompare with Dar. picha tumezileta mingi sana hapa
Nime itaja outering kwa sababu ajali ni nyingi sana.. kama wangeweka bus stages ata kama security facilities hazija isha bado ajali zinge pungua sana. Sasa Ma3 zina simama any how because hamna stages. Mpaka kufika July siku mchina ata wakabizi barabara hamna stages zitakazo jengwa zaidi ya kuweka lights na road signs basi.
 
Back
Top Bottom