Ule boy mzii Wa nairobi
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 164
- 37
This is nice dar buh Nairobi hamjafikiaBongo acha bana kama mbele
Mbona pinaccle haijaletwa Dar? Sijategemea swali la kijinga kama ilo kutoka kwako. ..ile si nyumba tu tofauti na nyumba zingine ni height..Najua dar inadevelop buh not more than Nairobi mbona pinnacle haijaletwa huko,,, and many more other skyscraper projects,,,,, and nimeona dar kuna very down graded streets,,,, kenya has the triple number of embassies tz iko nazo na multinational companies using nbo as their hq ni mob hii Nairobi is infrastracturised kabisa
I like that response though why not?3rd world countries can't help themselves aaah
Hiki ni kichekesho cha karne, sijui wakenya huwa akili zao zimekaa eneo gani ya mwili, nchi ambayo hata chakula inaomba kusaidiwa, heti inaweza kusaidia nchi zingine kweli?. Wakenya ni vichaa sana, nchi kama Angola ambayo GDP ni kubwa kuliko ya nchi zote za East Africa combined wala hawahitaji, eti wanataja Kenya nchi inayofilisika.I like that response though why not?3rd world countries can't help themselves aaah
Wengi wao hawana kazi na wako happyHiki ni kichekesho cha karne, sijui wakenya huwa akili zao zimekaa eneo gani ya mwili, nchi ambayo hata chakula inaomba kusaidiwa, heti inaweza kusaidia nchi zingine kweli?. Wakenya ni vichaa sana, nchi kama Angola ambayo GDP ni kubwa kuliko ya nchi zote za East Africa combined wala hawahitaji, eti wanataja Kenya nchi inayofilisika.
The best bridge in Kenya by kenyans standards


kabisa yaani umenena.......ila kwa wakenya ni tofauti.......wanajihisi ni madonIla waafrica Tuko nyuma sana japo tunajitahidi ila bado sana.. Hizi ni nyumba za watu wa kawaida sana kwa ulaya na zinaonekana za hali ya chini sana
View attachment 731528View attachment 731530View attachment 731531

developed of what???😀😀😀 ahead of what???Dar na Nairobi ni the biggest cities in their countries,hivi tunajua. Lakini kwa upande wa tz, nawaelewa kwa kuwa mna uchungu Kenya ipo juu yenu, si facts zikue facts tu, Nairobi is far much developed ,way better than your dinghy town, kibera ndio naona mmeitumia kutushtumu,wengi wetu wakenya hata hatujui vile kunakaa kibera, na mnatamani mngekuwa mkiishi Nairobi, ju it's way better, na imajin kuishi tanzania, pesa kubebwa na gunia,,, ,,,shieeeeeet!!!!!!
katafute bus stage kama hio ukipata nitag kumbuka iko mpanda katavi😀😀😀😀Oooh really nini io ipo tz akuna kenya kama si brt
najua hana ushahidi na hawez pata never😀😀Sasa huyu dadako kila siku unapeana ana kautamu alibakisha kweli,au siku hizi ni mtaro tu?
zikwapi pinnacle na montave??😀😀😀Najua dar inadevelop buh not more than Nairobi mbona pinnacle haijaletwa huko,,, and many more other skyscraper projects,,,,, and nimeona dar kuna very down graded streets,,,, kenya has the triple number of embassies tz iko nazo na multinational companies using nbo as their hq ni mob hii Nairobi is infrastracturised kabisa
hatujafkia kwa lipi??? tueleze sasa 😀😀This is nice dar buh Nairobi hamjafikia