Ule boy mzii Wa nairobi
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 164
- 37
uhahahha let me show private yatch za bongoknow the difference between a passenger ferry and a private yatch
its like comparing a rolls royce ghost na bus😀😀
know the difference between a passenger ferry and a private yatch
its like comparing a rolls royce ghost na bus😀😀
angola 112b usd 😀😀😀😀Least developed countries and y'all wanna argue with us
Hamna chochote cha kujisifu maisha ya Tiz mara 30 mazuri zaidi yenuLeast developed countries and y'all wanna argue with us
haha so unataka kusema angola hawalimi???Angola is richer than us buh bro do we have oil and diamonds, ,,,,u cant compare agriculture with such expensive stuff
haha so unataka kusema angola hawalimi???
Wewe ni kama unaabudu huyu jamaa. Am very sure unajua hadi wakati anaenda choowanairuka ila ujumbe umewaingia ndani ndani kabisa.
niliwahi kusema siku za nyuma na leo narudia tena, kenya haina msanii mwenye vitegauchumi vikubwa kulinganisha na vitegauchumi vya diamond platnumz.
wasanii wao wenyewe wanaishia kufanya tour kwa counties unatemea nini?...![]()
![]()
Ilo sio swali....Dar is slum kuna malls? ??
TumewazidiAlafu skyscrapers ni ngapi
Nice buh dar naona mko na 10 malls only nairobi ni 50Ilo sio swali....
This is aim mall ipo Arusha...Mall ziko miji mikubwa yote nazunguzia Dar, Arusha and Mwanza...Do you know the second biggest Mall after two river is located at Mwanza??Rockcity Mall...View attachment 732263View attachment 732264View attachment 732265View attachment 732266View attachment 732269
...Nice buh dar naona mko na 10 malls only nairobi ni 50
Bratha achanga uongo haisaidii ndio hii correct list ya dar skyscrapers zote 100 metres and aboveTumewazidi
1,2.PSPF tower A & B 35flr each
3 .TPA tower 40 flr
4 PPF 35 Flr UC
5,6 MZIZIMA towers A 37flr ,B 33flr
7 Rita tower 30flr
8 Millenium tower 30flr...
Zote zinacount 30flr++
Nataka unipe za nbo nyumba zenye zaidi ya 30flr kwa sasa..sitaki proposed project zingatia
Haha kijana naona unapiga reverse meliBratha achanga uongo haisaidii ndio hii correct list ya dar skyscrapers zote 100 metres and above
1.TPA 157m 35 floors
2.PSPF 150.80m 25 floors
3.Rita 130 m 30 floors
4.Uhuru 115.7 27 floors
5.Millenium 1--m 30 floors
6Umoja wa vijana 102 m 25 floors
najua mpaka ratiba yako ya kwenya kukata gogo... jana ulikata four times.Wewe ni kama unaabudu huyu jamaa. Am very sure unajua hadi wakati anaenda choo
