El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Nilidhani Mombasa
heheh mumeanza kutafutana sasa😀😀😀unaeza kuwa na pics za Bogani park,Karen?
hio density ya CBD inakusanya magorofa yote nairobi na bado hamutoshi😀😀😀😀Nilidhani Mombasa
Tulishawahi kuja kuomba pesa na chakula Kenya?????Tanzania huu umaskini wenu ni wa laana tu....lol.You are so poor and extremely disorganized......so sad.
Tulishawahi kuja kuomba pesa na chakula Kenya?????
Ila waafrica Tuko nyuma sana japo tunajitahidi ila bado sana.. Hizi ni nyumba za watu wa kawaida sana kwa ulaya na zinaonekana za hali ya chini sana


Hayo ndiyo mambo Wali naziHii road soon yawekwa BRT na kuongezwa lane moja kila upande...
Pesa iko mkononi tsh bln 77...View attachment 731533
Achana na hawa washamba wa dar is slum. They talk with a lot of emotionsWestlands hosts serious international headquarters that even Dar cbd can't even dream of.....the giant safaricom offices are in westlands......Price Waterhouse Coopers.....KPMG......Deloitte.....Delta....the list is endless
.........Westlands makes revenue more than Dar combined.......
Haha basi Ilala nayo ni CBD, izo nyumba zimejaa DarTo those danganyikans who have been wondering whether Westlands is a cbd, take a chil pillView attachment 731413 View attachment 731414 View attachment 731416 View attachment 731418 View attachment 731421
Kaka uko mjn ama nn 😛Ila waafrica Tuko nyuma sana japo tunajitahidi ila bado sana.. Hizi ni nyumba za watu wa kawaida sana kwa ulaya na zinaonekana za hali ya chini sana
View attachment 731528View attachment 731530View attachment 731531
Iyo bado inauwezo wa kupanuliwa barabara mbili zaidi kila upande, safi Sana..Hii road soon yawekwa BRT na kuongezwa lane moja kila upande...
Pesa iko mkononi tsh bln 77...View attachment 731533
Yea blaza, tunachungulia tu wenzetu wanaishije..Kaka uko mjn ama nn 😛
hasira sio mzuri budaa😀😀😀😀Achana na hawa washamba wa dar is slum. They talk with a lot of emotions
Nimekaa pale Ibis wiki mbili zote nimetembea na kuimaliza ile westlands yote, hadi ile mifereji inayotiririsha mavi yote nimeiona,Oracle ndio nini?....and you must know something about westlands is that it has both cbd and a residential area