ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
bingwa wa slums, bingwa wa unemployment rate, bingwa wa njaa, bingwa wa no security, bingwa wa corruption, bingwa wa tribalism, bingwa wa below poverty line, bingwa wa extreme poverty😀😀😀😀😀Sitafuti umarufu Bibi !! sisi tukiwa masikini wa kutupwa nyie mtakuwa nini? Dunia nzima yajua kuwa sisi ni bingwa ukanda huu, mtabaki LDC hadi kiama.