Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiwa na barabara kama hii hamuwezi kuwa among LDCs😛😛😛😛
Webp.net-resizeimage-3.jpg
Hamna kitu cha maana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Time is money Darling, and Kenyans are time cautious we can not travel by water from Mombasa to malindi or lamu cause its to far,we have got airports in malind as well as lamu which has got daily flights from Mombasa .
huvumi lakin umo haukos sababu kamwe😀😀😀
mgekua munajua maana ya time is money msingukuwa masikini wakutupwa😛😛
 
Lamu is bigger than Dar 9X so that section that got 15km tarmac road was one of the remote /rural lamu therefore does not mean that the entire lamu has no tarmac roads,tembea Kenya ujionee uache porojo za vijiweni ,jua likisogea pia wewe wasogea.
Haha eti tembea Kenya uuwi nikupoteza ela

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Lakini GDP yao ni $150B, ninyi zaidi ya kuimba bigger GDP mna kitu gani cha kuonyesha?, hamna chakula, hamna maji ya kutumia, hamna ajira, serikali imefilisika mnakopa hata pesa ya kulipa madeni.
wanakopa deni kulipa deni hahah yani hua wananifurahisha sana maana yake wanalipa interest mara mbili😀😀😀
 
Back
Top Bottom