Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heri hao ombaomba ambao wengi ni walemavu, ninyi nchi yote ni ombaomba, hadi nchi zinaanza kuwaogopa, msipokua makini China itawageuza watumwa kwa ajili ya madeni.


Kweli kilaza wa LDC ni janga tupu!! huwezi tofautisha mkopo na ombaomba?alowaweka huu ukanda angewaondoa mnatuaibisha sana na ulimbukeni wenu.
 
Unapanga uje Moshi lini wewe boya?unaanzaje kuponda Moshi mji wakistaarabu kama ule, umekosa adabu. ..uje dar uone nyumba sio ivyo vibanda apo nbo


Dar ni kama Mombasa sitaki,nataka moshi ila naogopa dah! hivyo vyakula vya kwenu naviogopa mwanangu,,,,,lakini utambia hao lofa wenzako kuwa mimi sili hio nyama ya kwenu.
 
Dar ni kama Mombasa sitaki,nataka moshi ila naogopa dah! hivyo vyakula vya kwenu naviogopa mwanangu,,,,,lakini utambia hao lofa wenzako kuwa mimi sili hio nyama ya kwenu.
ni kama???? hii sentesi tata... ni kama kwako unamaanisha nn???😀😀😀😀
 
Well biggest bridge is coming up ,and ferries will be a thing of the past.
biggest bridge munaimba same song now 7 yrs with governor joho😀😀😀😀 ferrie zenyewe zimechoka
taaban hazina service kabisa wanaita chuma chakavu

hii kitu itawachukua 30yrs the only suspension cable stayed bridge in east and central africa
BE43E66A-803D-41FB-8B6B-F8958EE79998.jpeg
F3BDDECF-C839-4640-8C7D-66BFE74A6D72.jpeg
2EFD545A-4698-47B2-AC90-AF2413A235A9.jpeg



you see how modern ferries works😀😀
6758175B-36C5-4A3C-8DD0-9F6CA3497D87.jpeg
5A8C41FD-B68F-41E6-ABAE-CF3949D7BB1B.png
CD27870A-9124-4D0A-8CAB-D8873416A1C9.jpeg
 
mchina anataka pesa yake sasa baada ya kuwaletea wakenya gari moshi au chuma chakavu train z miaka 50 iliopita😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom