Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geneva yawa....mwaswast tunafika Geneva lini....hahaha.enyewe pesa ya east African community haijasaidia arusha sana
View attachment 725665
arusha airport for light aircraft
020826.jpg
P3200215.jpg
 
Lappset kuendelea kama kawaida huko North Eastern
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227721_05d5b93af3401b7ea37dd7fd4efa69fd.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227722_2ae2faefaa24bac7896428919607a6d2.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227723_7729da8e45170942caa6a0a40464e3ca.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227724_ecb85e320fb51eea35a029358376e63b.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227726_8357042f54a8c351c40ec38bd8bccfff.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227728_412f0a20ee13cc5d453cad9df35948c9.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227733_cc109e9c33211a57b0842b628370c78d.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/03/227734_4410184d5ba85689ab9f1210abc50f64.jpg
 
.
Takwimu za idadi ya ndege sizifahamu kwasababu mnadai wamiliki "hawajulikani" (anonymous). Lakini dondoo za mjini ni kuwa baadhi ya viongozi wenu "walafi", walitumia ushawishi wao kuilazimisha KQ kutumia ndege walizozikodi huku wakitoza rates za juu kwa kampuni ili wapate faida kubwa. Sasa kampuni iko hoi bin taaban kwenye ICU.

Ndiyo matatizo hayo ya kujifanya mabepari kuliko mabepari wenyewe.
Mkuu asikuchoshe Huyo mwanasiasa.
Anadhani tuko jukwaa lao la kuonyshana stress.
 
endelea kujipa matuamini subirini ikamilike alaf mutaifahamu vzr😀😀😀😀
Kwanza mjiondoe hapa muingie ligi ya wanaume.😀😀😀 kwa sasa mkabishane na kushindana na kina Somalia ama Madagascar
General-Map.png
 
Kwanza mjiondoe hapa muingie ligi ya wanaume.😀😀😀 kwa sasa mkabishane na kushindana na kina Somalia ama Madagascar
General-Map.png
na siku mkitoka humu mutuambie na sisi tutoke LDC pia😛😛😛😛😛

tapatalk_1521527041249-jpeg.725107
 
Unafahamu KQ katika hizo ndege zinazofanya kazi za kukodi no ngapi na wanazomiliki ni ngapi?
Kukodi ni kuongeza uwezo was huduma na kibiashara hilo sio la ajabu. Tupatie takwimu hiyo kwanza ya wanazomiliki na kukodi. Kusema nyingi ni za kukodi haisaidii, maana mtu mwenye akili anaweza kukodi ndege na zikaingiza faida kuliko anayetumia za kumiliki
We nawe umepotea njia huku hupawezi
nenda kule Tanapa kwako
 
Back
Top Bottom