Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtuletee makazi halisi ya wakenya waishio Naorobi
na kina Annael MOTOCHINI nao watuletee makazi ya watanzania wakawaida Dar
Sasa umeulizia swala la makazi ya watu wa kawaida Nairobi na Dar. Lakini hao wenako watanzania badala ya kujibu swali ulivyouliza, wamerukia kuweka mitaa za machochole za Nairobi lakini hawajaweka mitaa za wa watu wa kawaida mjini Dar. Hiyo inaonyesha nini?
Hiyo ni nia ya kuficha ukweli ya kuwa the quality of life ya watu wa kawaida, yaan the middle-class Nairobi ambao ndio walio weng-sio mabwenyenye sana wala pia sio maskini wanaishi kwenye makazi bora kuliko madlle-class wa bongo.

Mimi nitakujibu swali ulivyouliza, sitoweka makazi ya watu matajiri humu, bali ya watu middle class.

Mtaa wa Kariobangi- a lower middle class neighborhood
Eastlands.jpg

aerial-view-of-suburbs-of-nairobi-kenya-picture-id621191832

Maeneo ya Eastlands
3BJZy5a.jpg

Nairobi South, ninakoishi mimi!
eastlands.jpg

Sisi ni manguruwe.....hatukatai. Hizi chuki zote kiasi ya kuitwa hivi? Siku moja nikauita MOTOCHINI nyumbu, kiutani tu. Akaniitia mods. Leo hapa yeye huyo anaita wengine manguruwe.

pipeline_estate2.jpg

6038727207_86ee62655c_b.jpg

12224464_538555669628590_1937734522_n.jpg

5655137482_2fb5d30750_b.jpg

14805094921_dca5f4d18b_b.jpg

4549448_lijpm_jpeg94f2f524cb86fb5b31275589c6968d1b

4549450_13051728101533490661866525761425041389967320n_jpegc35775c6e0952b20235ca42f54b9526c

4549413_11930880134944886854023311378904n_jpegc830773e0b221e9b1be0094bd7ef54b7

14583432_222621844822977_1711930168404082688_n.jpg

4549591_286157959916a926f896ch_jpeg93d6f714c662df79fa5ab92a457bca4f

Haya, na sasa watanzani watupe mitaa zao, sio kuzungumzia Nairobi namna hiyo kana kwamba kwao ni kuzuri.

No slums.
 
Nilikuambia soma hapa vizuri
33c100df59d688b88387865f95cb601c.jpg

Kama ulienda shule
chukua 3.5ml Kisha itafute 60% ya 3.5ml
jibu unalo
Tanzania

Population: 44 million

Number of people in slums: 6.2 million

Percentage of urban population in slums: 66%

Partner organisation: Centre for Community Initiatives (CCI)

Tanzania has the third highest slum growth rate in Africa, over 6% per year, and the sixth largest slum population. With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two-thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more than 11 million people &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; which would make it the third largest slum population in Africa.
In recent years, the government has carried out numerous evictions, leaving tens of thousands of poor households without shelter, water and sanitation, and often livelihoods.
People living in Tanzania's slums often lack secure tenure, clean water and basic services, and the rapid growth of slums has seen water and sanitation coverage regress in many areas. Pit latrines, the most common form of sanitation, are poorly constructed and often collapse during the rainy season. Health is a common problem: according to the World Health Organisation, 6% of Tanzanian adults live with HIV/AIDS, increasing to 11% in urban areas. Antiretroviral drugs are often unavailable and unaffordable for the poorest, who also suffer from significant stigma and discrimination, as HIV/AIDS remains a taboo subject. The HIV/AIDS pandemic presents unique challenges in slum communities, notably due to the speed of transmission and unsanitary conditions, resulting in low health levels and severe poverty.

Slums and urban poverty in Tanzania - Homeless International
 
The following is the list of slums in Kenya
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo[7]
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
 
Kitu kimoja ambacho dada Zuwenna hakifahamu kuhusu wakazi wengi wa jiji la Nairobi.

kutokana na uhaba wa ardhi ya makazi,asilimia kubwa (sina takwimu sahihi) ni wapangaji wa Nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo (kwa kingereza huitwa elite class) cha wakenya toka kabira la wakikiyu,wanasiasa na wafanyabiashara.

wengi ya wakazi wa Nairobi wenye kipato haba ambacho hakiwawezeshi kulipa pango ktk maeneo mazuri,wamepanga maeneo duni ya:
Baba Ndogo
Dandora
Fuata
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe.

kwa wakazi wa dar es salaam,hali ni tofauti,kutokana na upatikaji wa ardhi kuwa si jambo kubwa, baadhi wamefanikiwa kumiliki ardhi na Nyumba zao binafsi ndani ya jiji au pembezoni mwa jiji.
Some of those slums u have mentioned there are but a division of a one larger slum. Ie, Kibera includes the villages of Kisumu Ndogo, Lindi, Raila, Soweto(east & west), Gatwekera and Kichinjio.

Mathare slums includes Mathare Valley.

Nyalenda, Sarangombe, siranga, Ziwa la ngombe, are not in Nairobi

Mukuru, Mukuru kwa njenga is the same slum.
 
The following is the list of slums in Kenya
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo[7]
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
So what? It doesnt change this fact

6889797599_74dbcc6ecd_b.jpg

20151024_MAC237.png
 
Dandora Nairobi Kenya
upload_2017-4-2_10-46-52.png
A3_DSC_9553.jpg
images (1).jpg
dadreg-2.jpg
ABC116-Kenya+Pope+PollutionA.JPG
a-street-scene-from-dandora-slum-nairobi-kenya-cb5y0h.jpg
 
Attachments

  • upload_2017-4-2_10-45-2.png
    upload_2017-4-2_10-45-2.png
    113.3 KB · Views: 56
  • A3_DSC_9553.jpg
    A3_DSC_9553.jpg
    34.4 KB · Views: 43
  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    11.5 KB · Views: 40
  • upload_2017-4-2_10-46-2.png
    upload_2017-4-2_10-46-2.png
    113.3 KB · Views: 59
  • A3_DSC_9553.jpg
    A3_DSC_9553.jpg
    34.4 KB · Views: 38
  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    11.5 KB · Views: 41
  • dadreg-2.jpg
    dadreg-2.jpg
    358.8 KB · Views: 45
  • ABC116-Kenya+Pope+PollutionA.JPG
    ABC116-Kenya+Pope+PollutionA.JPG
    40.9 KB · Views: 88
Sasa umeulizia swala la makazi ya watu wa kawaida Nairobi na Dar. Lakini hao wenako watanzania badala ya kujibu swali ulivyouliza, wamerukia kuweka mitaa za machochole za Nairobi lakini hawajaweka mitaa za wa watu wa kawaida mjini Dar. Hiyo inaonyesha nini?
Hiyo ni nia ya kuficha ukweli ya kuwa the quality of life ya watu wa kawaida, yaan the middle-class Nairobi ambao ndio walio weng-sio mabwenyenye sana wala pia sio maskini wanaishi kwenye makazi bora kuliko madlle-class wa bongo.

Mimi nitakujibu swali ulivyouliza, sitoweka makazi ya watu matajiri humu, bali ya watu middle class.

Mtaa wa Kariobangi- a lower middle class neighborhood
Eastlands.jpg

aerial-view-of-suburbs-of-nairobi-kenya-picture-id621191832

Maeneo ya Eastlands
3BJZy5a.jpg

Nairobi South, ninakoishi mimi!
eastlands.jpg

Sisi ni manguruwe.....hatukatai. Hizi chuki zote kiasi ya kuitwa hivi? Siku moja nikauita MOTOCHINI nyumbu, kiutani tu. Akaniitia mods. Leo hapa yeye huyo anaita wengine manguruwe.

pipeline_estate2.jpg

6038727207_86ee62655c_b.jpg

12224464_538555669628590_1937734522_n.jpg

5655137482_2fb5d30750_b.jpg

14805094921_dca5f4d18b_b.jpg

4549448_lijpm_jpeg94f2f524cb86fb5b31275589c6968d1b

4549450_13051728101533490661866525761425041389967320n_jpegc35775c6e0952b20235ca42f54b9526c

4549413_11930880134944886854023311378904n_jpegc830773e0b221e9b1be0094bd7ef54b7

14583432_222621844822977_1711930168404082688_n.jpg

4549591_286157959916a926f896ch_jpeg93d6f714c662df79fa5ab92a457bca4f

Haya, na sasa watanzani watupe mitaa zao, sio kuzungumzia Nairobi namna hiyo kana kwamba kwao ni kuzuri.

No slums.

Usipende kupindisha vitu hapa
nilisema na narudia kuseme
makazi yale Nairobi yanastahili kuishi Nguruwe si Binadamu kamwe,
sija sema Wakenya ni nguruwe jielewe!!

Turudi kwenye mada
Unatuletea picha za sehu wanazo ushi Mafisadi ya kenya
kikuyu na ukoo wa Kenyatta!!
lete makazi ya wakenya wengi Nairobi
wakenya halisi siyo huko!!
wanako ishi wakenya wengi!!

Unajua wewe huelewi
usituletee picha za juu kuchagua Mahali
Leta mahojiao video tuone makazi kweli ya wakenya ni yapi
Hebu tazama hii
hawa ni wakenya waishio Nairobi
ndio 60% ya wakazi wa Nairobi tazama Makazi haya!!

Ni wapi Dar kuna vijumba vya mabati kama hivi!!
Niwapi dar kuna Mtu aliweza kuongea Akipata walau kuishi sehemu yenye hewa atabadilika kiafya!!

Kuweni na Imani na wakenya wenzenu najua hawa ndio mamazenu na huku ndio kwenu halisi!!

Unatuletea picha za Mafisadi yamejimilikisha Ardhi huku wakenya hawana ardh yakuishi!!
 
Tunazungumza dar ya 2017 mbona huu mwaka hamuutaki😀😀😀😀😀😀😀😀 munataka 90s tu hamutaki kwenda mbele hehhehhe naona wakenya mambo yamekua tyt alafu Leo nina new story zinga pharmeutical kiwanga kikubwa cha dawa kinajengwa bagamoyo na wajerumani ni balaaa hehehe acha kabisa
 
If Tanzania is soo good, it then shouldnt be featuring in such unenviable lists

LDC_map_1500x936.jpg

CGViD06W8AA_2Gn.jpg

Pictures dont always tell the whole story, stastistics are a bit more revealing
Kawangware Nairobi, Kenya
upload_2017-4-2_11-3-6.png
Kawangware-0.jpg
download (6).jpg
images (3).jpg
537141576_1d406b966e.jpg
 
Usipende kupindisha vitu hapa
nilisema na narudia kuseme
makazi yale Nairobi yanastahili kuishi Nguruwe si Binadamu kamwe,
sija sema Wakenya ni nguruwe jielewe!!

Turudi kwenye mada
Unatuletea picha za sehu wanazo ushi Mafisadi ya kenya
kikuyu na ukoo wa Kenyatta!!
lete makazi ya wakenya wengi Nairobi
wakenya halisi siyo huko!!
wanako ishi wakenya wengi!!

Unajua wewe huelewi
usituletee picha za juu kuchagua Mahali
Leta mahojiao video tuone makazi kweli ya wakenya ni yapi
Hebu tazama hii
hawa ni wakenya waishio Nairobi
ndio 60% ya wakazi wa Nairobi tazama Makazi haya!!

Ni wapi Dar kuna vijumba vya mabati kama hivi!!
Niwapi dar kuna Mtu aliweza kuongea Akipata walau kuishi sehemu yenye hewa atabadilika kiafya!!

Kuweni na Imani na wakenya wenzenu najua hawa ndio mamazenu na huku ndio kwenu halisi!!

Unatuletea picha za Mafisadi yamejimilikisha Ardhi huku wakenya hawana ardh yakuishi!!

You have nailed it bro.
 
Uliona wapi Dar zaidi ya watu 200
wakatumia choo kimoja!!?
Watu nairobi hawana hata sehemu yakuchimba choo
Mafisadi ya Ardh yalisha jimilikisha
watu wanaishi kama Nguruwe
 
Back
Top Bottom