Nilikuambia soma hapa vizuriUnacho kisimamia nikuwa Wakazi wa dar wanaishi vizuri kuliko Nairobi?
Huyu kuna muda anakuwa na maswali yakishamba !!Hapana huyu ni mrembo wetu. Ni mzuri sana. Usimpe mambo magumu.
Narudia mimi sipendi unafikiHapana huyu MOTOCHINI Nikama anakashfu maisha ya nduguzetu
yeye anaishi nyumba gani!!?
aiweke hapa
Tunajua kuwa kibera kubaya
lakini nihaki kusema nisehemu wanaweza ishi Nguruwe!!?
Leo Unalo weweNarudia mimi sipendi unafiki
kule kunastahili kuishi Nguruwe si kwa wakenya na mijisifa yao!!
Hebu waambie walete picha za makazi ya wana Dar
kama wataleta Mabanda kama yale
Wewe ni walewaleLeo Unalo wewe
Ntakutoa Ufahamu
Tuletee za dar sasa
Nilikuita naomba urudi ulikokuwa kwaheriWewe ni walewale
Hujafika Dar
unaisikia na kuitazama kwenye Picha
Upo Tanzania kama upo Ughaibuni
ajabu hata walio ughaibuni walipitia Dar
na walipita Vingunguti waliona Makazi ya Watanzania wa ukweli ukweli hakuna Vibanda vya Nguruwe kama vya Nairobi
Usiniite tenaNilikuita naomba urudi ulikokuwa kwaheri
Kitu kimoja ambacho dada Zuwenna hakifahamu kuhusu wakazi wengi wa jiji la Nairobi.Siyo kashfa
Jifunze kusema ukweli
hao unao waona humu ni watafuta sifa
kitu kimoja ukifahamu
mkenya hupenda sifa sana
yupo radhi Kukuambia kashiba akiwa na njaa kali
Wana maisha yakuiga sana,
utawakuta Nairobi wamepigilia Suti mfukoni hana kitu
nyumbani kibera!!
Sasa wapost humu nyumbazao za kawaida za Nairobi
Aje akusome ZuwennaKitu kimoja ambacho dada Zuwenna hakifahamu kuhusu wakazi wengi wa jiji la Nairobi.
kutokana na uhaba wa ardhi ya makazi,asilimia kubwa (sina takwimu sahihi) ni wapangaji wa Nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo (kwa kingereza huitwa elite class) cha wakenya toka kabira la wakikiyu,wanasiasa na wafanyabiashara.
wengi ya wakazi wa Nairobi wenye kipato haba ambacho hakiwawezeshi kulipa pango ktk maeneo mazuri,wamepanga maeneo duni ya:
Baba Ndogo
Dandora
Fuata
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe.
kwa wakazi wa dar es salaam,hali ni tofauti,kutokana na upatikaji wa ardhi kuwa si jambo kubwa, baadhi wamefanikiwa kumiliki ardhi na Nyumba zao binafsi ndani ya jiji au pembezoni mwa jiji.
Nimependa unavyo toa maelezo kama mkazi na Raia wa kenyaKitu kimoja ambacho dada Zuwenna hakifahamu kuhusu wakazi wengi wa jiji la Nairobi.
kutokana na uhaba wa ardhi ya makazi,asilimia kubwa (sina takwimu sahihi) ni wapangaji wa Nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo (kwa kingereza huitwa elite class) cha wakenya toka kabira la wakikiyu,wanasiasa na wafanyabiashara.
wengi ya wakazi wa Nairobi wenye kipato haba ambacho hakiwawezeshi kulipa pango ktk maeneo mazuri,wamepanga maeneo duni ya:
Baba Ndogo
Dandora
Fuata
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe.
kwa wakazi wa dar es salaam,hali ni tofauti,kutokana na upatikaji wa ardhi kuwa si jambo kubwa, baadhi wamefanikiwa kumiliki ardhi na Nyumba zao binafsi ndani ya jiji au pembezoni mwa jiji.
Unajua Hakuna faida ya kuwa na matajiri wengi huku wengine wakiishi maisha ya ki mbwa nguruweGDP na Human Capital hapo sasa?. Tusiporekebisha?. Ila kama gap poor and rich haitarekebishwa basi GDP na HCD haitakuwa na maana.