ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Na mukitaka kuamini Tanzania inakwenda kwa speed ya harari angali budget ya 2017/2018 ya Kenya na Tanzania utaona tofaut kubwa sana jamaa wamekomba pesa zote wamepeleka kwenye uchaguzi hhhahaha wanaomba msaada wa billion 600 Kenya shs heeehehh middle economy hio?????? Someni budget ya Tanzania muone mambo yaliyomo humo