Hahaha.... i love engaging you, just like my 2year old nephew.Sasa mbona unatoka povu jingi? Sikuelewi. Wewe unapima city center tokea wapi!? Mbona unakomalia issue za kitoto!? I thought your bright lakini nashindwa kuelewa unakomalia kitu kidogo kiasi hiki kwamba distance from city center to millennium tower. Nikasema wewe unapima tokea wapi!? Sasa unaanza kutoa povu kama mtu asiye msomi!!
Li uwanja libayaNAIROBI
SAFARI 7s
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa posta ya zamani ndiyo city center? Unajua historia ya Dar es salaam wewe? Je, unajua kabla ya kuitwa dar es salaam iliuwa inaitwa jina gani!? Hizo ni references zako tokea posta ya zamani. Lakina unajua tukisema origin ya city center officially unajua ni wapi?Hahaha.... i love engaging you, just like my 2year old nephew.
Bone of Contention was between 50km and 9.3 km ukaleta 12km after going round in circles alafu unauliza ni which point ya city centre!. ....Hahaha.... I find that very amusing!! But anyway let me engage you on your level...
Unauliza napima city centre kutoka wapi. Nilisema from the original post kwamba ni from milineum towers had posta ya zamani. But really, does it matter which point ya city centre? How many kilometers could you add taking one point of the city centre or another? Unless the City centre is 10km wide it doesn't make much of a difference. Najua utakuja na kitu kama "we unajua city centre inaanzia wapi had wapi!" You know u are dying to ask me that!
Mmetoka na nani?? Nani alisema wewe ndiwe wa kusema lipi la kufanywa kwenye uzi huu?? Wacha mtu afanye analoona anataka kufanya bila kumuelekeza kila wakatiRafiki tumeshatoka huko. Tuletee sehemu za starehe. Dar ipo na viwanja vikubwa kuliko Nairobi. Hilo linajlikana acha kujiaibisha.
Manina mungiki watakua wamelala na viatu,
Ni mpumbavu pekee atafanya mambo kivyake bila kufuata utaaratibu kama unataka kuwa mmoja wa wapumbavu unaruhusiwa ni haki ya kila mtu.Mmetoka na nani?? Nani alisema wewe ndiwe wa kusema lipi la kufanywa kwenye uzi huu?? Wacha mtu afanye analoona anataka kufanya bila kumuelekeza kila wakati
Utaratibu wa nani? Wako?Ni mpumbavu pekee atafanya mambo kivyake bila kufuata utaaratibu kama unataka kuwa mmoja wa wapumbavu unaruhusiwa ni haki ya kila mtu.
Ndo maana Nikasema you are just like my 2year old nephew... now look at where you have jumped to... hahahaha. .. am loving it to the max. We are now miles away from how far millennium tower is from the city centre to "kabla ya kuitwa Dar es salaam ilikua inaitwa nini? "Sasa posta ya zamani ndiyo city center? Unajua historia ya Dar es salaam wewe? Je, unajua kabla ya kuitwa dar es salaam iliuwa inaitwa jina gani!? Hizo ni references zako tokea posta ya zamani. Lakina unajua tukisema origin ya city center officially unajua ni wapi?
Acha kuingelea vitu vidogo vidogo na kuvikuza vionekane vikubwa. Kama huna information za ku battle between kenya and Tz kaa kimy jifungie uvunguni.
Kwikwikwikwi. Yaani dogo ungerudi nyuma na kujijitazama. Seriously nilikuwa nakuona kuwa uko fresh lakini kuanzia leo. Usitafute pa kujificha. Kumbe mtu akiwa kimya huonekana ana adabu. So your in my stupid list.Ndo maana Nikasema you are just like my 2year old nephew... now look at where you have jumped to... hahahaha. .. am loving it to the max. We are now miles away from how far millennium tower is from the city centre to "kabla ya kuitwa Dar es salaam ilikua inaitwa nini? "
Am I dealing with nut case here coz my nephew can at least stay on a topic?
Nothing newNairobi at Night
![]()
![]()
![]()
I would be worried if I was in the same list as you. I will take my chances with any other list.Kwikwikwikwi. Yaani dogo ungerudi nyuma na kujijitazama. Seriously nilikuwa nakuona kuwa uko fresh lakini kuanzia leo. Usitafute pa kujificha. Kumbe mtu akiwa kimya huonekana ana adabu. So your in my stupid list.