Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtuletee makazi halisi ya wakenya waishio Naorobi
na kina Annael MOTOCHINI nao watuletee makazi ya watanzania wakawaida Dar
Utakuwa huwatendei haki wewe
Soma hii vizuri
unategemea wapost picha zipi za wakenya wakawaida!!
9cfa6d22d08ceaf157e03ae78c303431.jpg

Hawa unao waona humu 90% Hawaishi Nairobi
nawanao ishi Nairobi 100% Wanaishi kwenye hiyo 60% ya wakazi wa nairobi hapo juu
 
Ni dhambi kwa wakenya kufanya hivyo hawawezi fanya hivyo haki.
Huwezi kuwa mzima kichwani ukafurahia maisha kama haya
4977c9cd3668afe882db12544fe152ed.jpg
185b8d95c226cb63b12e0db7fda55021.jpg

wewe Zuwenna huwezi Kuta nyumba ya kijinga na yahovyo kama hizo Dar es salaam

hapo si pakuishi Binadamu !!
Dar nyumba hazina mpangilio
lakini sio Uchafu wa mabati kama hayo
Dar wanajengea tofali za mchanga na siment
Unaambiwa 60% yawakazi woote wa Nairobi huishi kwenye Mabanda hayo
Nihatari kiukweli
 
Hii kashfa sasa!!
hivi wewe unaishi nyumba gani!!
Unaweza kutuonyesha ?
 
Hii kashfa sasa!!
hivi wewe unaishi nyumba gani!!
Unaweza kutuonyesha ?
Siyo kashfa
Jifunze kusema ukweli
hao unao waona humu ni watafuta sifa
kitu kimoja ukifahamu
mkenya hupenda sifa sana
yupo radhi Kukuambia kashiba akiwa na njaa kali
Wana maisha yakuiga sana,
utawakuta Nairobi wamepigilia Suti mfukoni hana kitu
nyumbani kibera!!

Sasa wapost humu nyumbazao za kawaida za Nairobi
 
Maskini with 6200$ millionaires?
plus GDP 33B? ???
Tajiri gani anakufa kwa njaa!? Kwikwikwikwi. Nenda uje tena. Wewe unabahati kuingia hata kwenye mitandao. But in reality Kenyans umasikini siyo wa sayari hii. There is no poor person in the world as person in kibera Nairobi kenya.
 
Maskini with 6200$ millionaires?
plus GDP 33B? ???
Hizo story zakijinga unapaswa kujiongeza
unaambiwa akili zakuambiwa changanya na zako!!
Hao unao waita milionea 80% ni Kikuyu
jiulize vipi kikuyu!!?
ndio mafisadi wakubwa wa nchi ya kenya!!
Matajiri wengi wamewasiadia nini hawa
3c2afbba3a90108c85ded3ebfcb36956.jpg

Jiulize kwanini Dar hakuna Vijumba vibaya kama hivyo?
Huo umilionea unawasaidia nini wakenya wakawaida?
 
Siyo kashfa
Jifunze kusema ukweli
hao unao waona humu ni watafuta sifa
kitu kimoja ukifahamu
mkenya hupenda sifa sana
yupo radhi Kukuambia kashiba akiwa na njaa kali
Wana maisha yakuiga sana,
utawakuta Nairobi wamepigilia Suti mfukoni hana kitu
nyumbani kibera!!

Sasa wapost humu nyumbazao za kawaida za Nairobi
Wewe unaishi nyumba gani?
 
Wewe unaishi nyumba gani?
Usiniulize mimi
uliza Wakazi wa dar wanaishi nyumba gani!?
Nikikupostia humu nyumba yangu nayo ishi hauta kubari
sasa kubwa hapa ni tuangalie maisha halisi ya Watanzania waishio Dar
na wakenya waishio Nairobi
 
He!! Basi tunaomba urudi jukwaa la siasa
 
Uliniita mwenyewe
kwahiyo uliza maswali yako vizuri na polepole ujibiwe
jukwaa lasiasa ntaenda muda wowote Sipangiwi namtu
Unacho kisimamia nikuwa Wakazi wa dar wanaishi vizuri kuliko Nairobi?
 
Back
Top Bottom