COLLOH-MZII
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 722
- 297
Ndugu unatuharibia thread. If you want to battle let go step by step. The photo your uploading has already uploaded. Please now we are talking about local markets. Uwe mstaarabu basi. Na uache ujinga. This thread help other people who don't know some issues. Nakutaka uwe na adabu sawa.
nimefurahi,moderater ni kama wameifutilia mbali ile thread yake.hahahahaNdugu unatuharibia thread. If you want to battle let go step by step. The photo your uploading has already uploaded. Please now we are talking about local markets. Uwe mstaarabu basi. Na uache ujinga. This thread help other people who don't know some issues. Nakutaka uwe na adabu sawa.
Hivi unategemea Tupost makazi ya watanzani wakawaida DarHapa watu mna tuacha hoi
mnarudia picha zile zile
Majengo yaleyale
barabara zilezile!!
Badilisheni basi vitu vipya
makazi ya Watanzania wachini
makazi ya wakenya wachini
Mahotel Nk
kila picha Jengo hilohilo
Haki hawawezi kufanya hivyo. Kitu wanawez fanya ni kusema GDP kubwa, na ku post barabara tu. But 2019 hata barabara wataanza kuona aibu. Sasa hiv ni zaidi ya 20,000KM nchini ni paved. Ngoja nikiipata hiyo taarifa nitakupatia. Niliisoma kutoka wizara ya Ujenzi na Tamisemi. Ngoja niitagute.Hivi unategemea Tupost makazi ya watanzani wakawaida Dar
Makazi ya wakenya wakawaida Nairobi![]()
Wacha utani bwana
Nairobi kuna wakenya wanaishi Kuzimu
Ni nguruwe pekee anaweza kuishi vile!!
Labda wajaribu kupost tuone
That is the point! The point does not lie in the length of the pipeline, not directly like road or rail, is like telling me, "We have the longest electricity line!" Does it make any sense??
hahaha..... you actually want source for the "longest electricity line"! Hahaha...duh! Even after much schooling our comprehension skills has remained the same!!Send us the source
Really?! You need schooling on this too?!Millenium tower is 50km from city centre
Na kawe city even farther
Unapima umbali kutokea wapi? Be specific acha kuanzisha ligi za kitoto.Really?! You need schooling on this too?!
Nakupa hesabu kamili ukitumia Ali Hassa Mwinyi road in 7.7km toka millenium towers hadi posta ya zamani. Ukitumia kawawa road ni 9.3km.
Kawe to posta ya zamani ukitumia mwai kibaki road ni 12.3km
Sipendagi ujinga!
Really?! You need schooling on this too?!
Nakupa hesabu kamili ukitumia Ali Hassa Mwinyi road in 7.7km toka millenium towers hadi posta ya zamani. Ukitumia kawawa road ni 9.3km.
Kawe to posta ya zamani ukitumia mwai kibaki road ni 12.3km
Sipendagi ujinga!