ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
yani huwez amini juzi gorofa sita leo tena gorofa nne hvi serekali iko wapi hio elimu wanayojidai humu inasaidia nn😀😀😀😀😀😀😀 haiwezekan watu wakae serekalini bila kuwajibishwatukiwambia waache kujenga nyumba kwa kutumia mawe hawataki.
halafu building contractors and civil engineers wa nchi ya kenya huko shule wanaenda kusomea ujinga?. kila mwaka lazima majengo yaporomoke.