Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani masikini nguvu zake mwenyewe pia wanataka kusema wamechangia hawa jamaa ni wapuuzi yani wameachiwa laana mbaya sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23][emoji23] Maisha ya nyumba za matope yamewadumaza..
 
Boss wacha wivu, the show is aprivate affair invites only how do you expect them to announce..
tatizo lako hukujipa mda kusoma post yangu ili uilewe...acha kukurupuka.

hakuna uhusiano wa show kuwa private na Omarion kupost kwa page yake ya instagram kuonyesha kwamba yupo kenya.
 
yaani kenya kila mtu ni mkora hadi mademu. ndio matunda ya ukosefu wa ajira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
wale vijana majobless wa kikenya mnaochukia mafanikio ya watanzania haya sasa chukieni na hii.

diamond platnumz is now an official land owner in kenya.mwenye wivu ajinyonge.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

NB:
the guy whom some kenyans mock for speaking broken english is now owning land in kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Swali ni mbona ameichagua nairobi dhidi ya Dar..ilifaa album yake aitolee kwao huko huko
Wewe kichwa yako ni mbovu sana, kwanini hujiulizi mbona kuna investors wengi sana toka Kenya wanaowekeza billions of $ in Tanzania wakati Kenya unemployment rate ipo juu sana, kwanini wasibaki huko Kenya?

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: nao
tunacheza mpira kwenye eneo la hatari golini kwao. viva tanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
tunacheza mpira kwenye eneo la hatari golini kwao. viva tanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 715073


A form two dropout definitely will need management....coz he can't grasp simple concepts in the industry.Some bright ones like kaka Sungura decided to manage their own brand kaka empire and its a household name in Kenya.....I think he is a CPA holder.......
Nameless is an architect

Wahu is a statistician

and they manage themselves pretty well....

I know you all enjoy their songs pretty well
 
Lol......Kelele za chura haizuii Kenya kuendelea.......the lone non LDC sorrounded by ldc neighbours
 
yah he is a form two dropout he can't speak the queen's language properly but he is rich and now owns a piece of land in nairobi were many kenyans with their university degree and mastery in english language cant afford to own land.viva tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Haya mambo ya sijui "below poverty line" msiyachukulie kwa pupa, huwezi ukarundika nchi zote kwenye gunia moja na kusema "hawa ni masikini" eti kwa kuwa wanapata kipato cha chini ya dola moja.

Hiyo dola moja mtanzania anakula vizuri sana na kubakisha.

Wenzenu wanaposema, "chini ya dola moja" kwenye nchi zao ni umasikini kweli kweli. Sana sana utakachonunua ni grandma's cookies kwenye vending machine kama hapo chini inavyoonesha bei yake ($0.85).



Lakini kwa bongo hivyo vipimo havina mashiko kiivyo kwa kuwa unapata msosi wa nguvu kwa chini ya dola moja.




Huu msosi kuna jamaa alisema kwao tabata ubaya ubaya mamantilie wanauza kwa Tsh1000 ambayo ni sawa na "four dimes four pennies" ($0.44), kwa rate ya $1=Tsh2255.

Sasa wewe jirani unaongea ongea tuu bila hata ya kufikiri eti kwasababu "wamesema"?
 
Wacha wajipepee ujinga.mzungu si ndio mume wao wa ndoa.
 
Standard Gauge Railway Dar es Salaam - Morogoro progress February 2018 Ilala Dar-es-Salaam Tanzania
Source: NetMimar
 
Lol......Kelele za chura haizuii Kenya kuendelea.......the lone non LDC sorrounded by ldc neighboursView attachment 715078
Govt to tarmac 4,000km of road in four years
By the end of 2016, Kenya mnlikua na jumla ya 15,981km za tarmacked roads, 14,000Km zilizojengwa na serikali zilizopita, na 1,981Km zilijengwa na serikali ya Jubilee. Tanzania ilikuwa na 17,000Km katika kipindi hicho hicho, kumbuka Tanzania ni kubwa mara mbili ya Kenya, kwahiyo percentage ways Kenya itaonyesha mara mbili ya Tanzania, jifunze kutafsiri hizo data.
 
Wacha wajipepee ujinga.mzungu si ndio mume wao wa ndoa.


Hawa jamaa elimu yao hovyo kabisa hawakujifunza hata kutambua matango pori ni yapi wao wanabugia tuu.
 
So mlishondwa kuwafanya kina nonini na wengine kua star duniani???? Yani ni sawa mtoto wako anaumwa na wa jiran yako anaumwa alaf unamchukua wa jiran yako unampeleka hospital wko unamiacha, ndio maana tunawaambia akili Enu hazivuki nje ya kenya diamond anapambana mwenyewe kwa nguvu zake hali kadhalika kiba hvo hvo

Musijipe shuguli sio yakwenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Swali ni mbona ameichagua nairobi dhidi ya Dar..ilifaa album yake aitolee kwao huko huko
Dar ni mwisho atafanya kwasababu ni nyumban akitoka kenya anakwenda america atakwenda south africa atakwenda nigeria alaf anakuja kumalizia tanzania nyumban kwake

Ni utaratibu aliojipangia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…