Heheh yani akili mbovu mlionayo nyinyi ni kujiringanisha na us, geramny or japan ndugu those are developed countries and kenya is developing country tofautisha deleloping and developed usiwe mjinga kufikia hatua hioPleas check developed countries like U.S,Japan,German.... Their dept ratio is over 100% of their economy... Fools will always be fooled.
Go check then come we discuss.
Yani wewe unajiringanisha na developed country kweli unaakili sawasawa yani sijui wakenya munaakili gani umekaa kabisa unajifananisha deni lako na us au germany do u think hao ni wenzako wakat kila siku wanakupeni msaada kwenye budget yenu 😀😀😀😀Hawa hata habari ndio hawana kwamba hizi nchi zimeendelea pia ziko na madeni tena mingi kushinda zetu. They are trying everything to justify their points but it's just falling back on their faces
Ujinga na inferiority ndio mnayo kwa wingi.. Singapore,China,S.Korea, Taiwan walikua maskini kiwango moja nasisi but walijituma hadi walipo sahivi..Yani mtu mzima mwenye makende mawili amekaa kabisa anafananisha deni la usa au germany na kenya???? Serious😀😀😀
Nchi zinazo control uchumi wa ulimwengu mtu amekaa kujifananisha nao hahahha eti mbona japan ana deni hahhhahah
Ama kweli asie na hili ana lile😛😛😛
Mwambie huyo maana hajui hata redox reaction ni nini...Unashangaa bati kuwa na kutu hukusoma chemistry???au ulienda shule kujifunza kiingereza???
Ndugu yangu, kutuletea picha za nyumba moja moja won't help here. Mwenzako kadodah alizileta huku hadi akachoka. What we want are aerial photos of where these houses are found, sio picha za nyumba moja moja unavofanya hapa. Naona uko very selective kwa picha unazoleta. Tunataka picha za angani. kazi kwakoHizi ndo nyumba za watanzania zenye hayo mabati mnayoona kwa google earth. Ni utamaduni wetu na fahari kwetu watanzania kujenga nyumba zetu wenyewe kuliko kukaa kwenye kotaz mnazoita apartments. Nyumba zetu ni product ya creativity yetu.
By the way watanzania hatupendi kujitenga kimatabaka so hata manzese hizo nyumba zipo. View attachment 713906View attachment 713907View attachment 713908View attachment 713919View attachment 713920View attachment 713921View attachment 713923View attachment 713924View attachment 713925
Halafu utasikia wajinga wengine wakisema Nairobi ilijengwa na wazungu wakati wa ukoloni. Very desperate people
their top radio presenters have to post him on their social platforms to show he is in kenya...diamond is bigger than kenya...povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 713450
Itakuwaje bora wakati mpangilio haupo? Itakuwaje bora wakati barabara hazipo? Ndugu, muwe tu wangwana na wakweli na mkubali kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi hata robo kwa upande wa makazi na planning ya estates. Hizo apartments mnaita domitories are way better than those crammed shacks with corrugated iron sheets you call dream houses here.
Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi
Moja ya maendeleo Nairobi imeshindia Dar ni kwamba iko na estates bora na zilizopangwa vizuri kuliko Dar. Pili, nairobi iko na barabara bora tena pana kuliko Dar ambayo ni juzi tu ndo mmeanza kujenga barabara. Naeza endelea zaidi ya hapo
When you want to pick out a poorly written and biased article, first look at grammar and sentence structure. There are lots of grammatical errors throughout the article which puts its reputation into serious questions. This is a blog from a person who has personal hatred for kenya. Umejaribu lakini, congratulations. Hebu leta screenshot of the same showing the name of the website please
Inaonekana mabasi yetu yanakuuma sana.imported shiny buses passing through slums and they think their government is working
So argument zenu sio ubora wa nyumba tena ila ni mpangilio wa nyumba. Basi sawa.Ndugu yangu, kutuletea picha za nyumba moja moja won't help here. Mwenzako kadodah alizileta huku hadi akachoka. What we want are aerial photos of where these houses are found, sio picha za nyumba moja moja unavofanya hapa. Naona uko very selective kwa picha unazoleta. Tunataka picha za angani. kazi kwako
watakwambia hard workingWizi na ujambazi ndio laana walioachiwa
The good thing with technology is that it gives you a lot of optins to choose from just the same way Google earth does. In as much as Google images zinapigwa picha kwa juu, if I want to see more detailed information, I can always zoom as much as I want to view images kwa karibu so your argument doesn't hold any water.Mahali kuna barabara utaona tu na mahali kuna mpangilio wa nyumba pia utaona tu. Isitoshe, utaona pia the type of houses found in a particular place.Inabidi uelewe kuwa picha za Google zinapigwa kutoka juu sana approx. at right angle. Kwa hiyo unahitaji upana fulani hivi kuweza kuona nafasi kati ya nyumba na barababra. kama nyumba zimekaribiana picha itaonekana kama nyumba zimerundikana bila mpango. Hata kariakoo miaka ya themanini ilikuwa hivyo, ikipigwa picha kwa juu inaonekana mrundikano wa nyumba za kiswahili lakini sasa baada ya kujengwa magorofa utaona inavyopendeza kwasababau ya utofauti wa urefu wa magorofa.
Watanzania hawapendi kukaa kwenye matundu ya njiwa.
...it's reputation in question.