Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀😀😀😀 upumbavu wako ni ya kimaajabu. denial is your motto, unaitisha evidence nakupa unaitisha mengine, hata nikileta puia utakataa... huo mchezo wa vuta nikuvute siwezani😀😀😀
Kila picha ya Kibera inayoletwa hapa inaonyesha ushahidi wa maandishi kuonyesha hapo ni Kibera, ninyi hizi za Dar ushahidi upo wapi kuonyesha hapo ni Dar?, tunaoijua Dar, hizo picha sio za Dar, kama unaushahidi wowote tuletee, vinginevyo hiyo ni dalili ya kushindwa mnatumia picha za nchi zingine ili kuiokoa Nairobi.
 
estate ya suzanna owiyo ambaye ni mwimbaji

riat-jpeg.713446

estate ya diamond😀😀

MG_1035.jpg
 
Kila picha ya Kibera inayoletwa hapa inaonyesha ushahidi wa maandishi kuonyesha hapo ni Kibera, ninyi hizi za Dar ushahidi upo wapi kuonyesha hapo ni Dar?, tunaoijua Dar, hizo picha sio za Dar, kama unaushahidi wowote tuletee, vinginevyo hiyo ni dalili ya kushindwa mnatumia picha za nchi zingine ili kuiokoa Nairobi.
😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛
mabwawa saba daresaalam
tanzania-dar-es-salaam-aerial-view-on-suburbs-F4CEXF.jpg

mabwawa saba google maps

mb.png
mn.png
 
Middle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenuView attachment 713269
My fren huoni hiyo ni slum?middle incomes wanakaaje hvyo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom