tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
hii ni true story...ukifika Kenya ukaagiza chakula mf wali na nyama utalipia kivyake ukitaka mboga Za majani utalipia 20ksh ukitaka kachumbari utalipia tena 20ksh sasa hawa nyumbu wakija Tanzania wakaagiza wali saving yake wataenda hadithia ukoo wao. ..watapewa chakula hadi walie machozi...Kenya hawana value for money kabisa ni kanchi ka hovyo kabisa waje kubishaCbd ikose watu vipi wakati unemployment ipo juu. Majobless lazima waende cbd kuzurura.