Sa hio ni part ya 92% slum city?Bunju, Boko,Madale, Goba,Mbweni,Tegeta, masaiti,ununio,kunduchi beach, salasala ,mbezi beach,Mikocheni, Kijitonyama, kindondoni B,oysterbay, Masaki ,bahari beach hii pekee ni kinondoni district na hakuna even a place kumekaa hovyo ata moja..
Never...Sa hio ni part ya 92% slum city?
8% of the non slum?Never...
Kutoka bunju hadi morroco ni zaidi ya km 30 ww punguani8% of the non slum?
Diameter ya Nairobi haizidi 20Km, very very small cityWakati tunaunganisha Nairobi na Naivasha 150 km away nyie bado mko less than 30-45km?
Mnaunganisha na kamasi au spiderweb??Wakati tunaunganisha Nairobi na Naivasha 150 km away nyie bado mko less than 30-45km?
Nilikupa bagamoyo road tu tuje upande wa Morogoro road sasa...unaanza kiluvya,kibamba,mbezi luisi,kimara ,ubungo,sinza, magomeni kutoka kiluvya hadi magomeni ni km 30+Wakati tunaunganisha Nairobi na Naivasha 150 km away nyie bado mko less than 30-45km?
20km my foot??wako na cbd tatu waulize zimeachana km ngapi???Diameter ya Nairobi haizidi 20Km, very very small city
Anadhani ni kwa data za kuloweka kama wao.Nilikupa bagamoyo road tu tuje upande wa Morogoro road sasa...unaanza kiluvya,kibamba,mbezi luisi,kimara ,ubungo,sinza, magomeni kutoka kiluvya hadi magomeni ni km 30+
Kote kuna nyumba hakuna msitu sasa mlitegemea real estate mtuzidi kivipi
hapana izo takwimu zako hazipo8% of the non slum?
Mnaunganisha na kamasi au spiderweb??
Nyie watatu nawapepeta kama njugu, 92% ya dar ni slum na 30km outside Dar ni mashambani...mkatafute watanzania wa kudanganya.Kutoka bunju hadi morroco ni zaidi ya km 30 ww punguani
weka Picha ya morogoro road nikuambie the type of settlements you are bragging about.Nilikupa bagamoyo road tu tuje upande wa Morogoro road sasa...unaanza kiluvya,kibamba,mbezi luisi,kimara ,ubungo,sinza, magomeni kutoka kiluvya hadi magomeni ni km 30+
Kote kuna nyumba hakuna msitu sasa mlitegemea real estate mtuzidi kivipi
Katafute google kwanza dar ni mashuhuli kwa kilimo gani kwenye hayo mashamba uliyotaja hapa.Nyie watatu nawapepeta kama njugu, 92% ya dar ni slum na 30km outside Dar ni mashambani...mkatafute watanzania wa kudanganya.
some stale 2 year old news......Nairobi is ranked 9th worldwide in real estate growth.Dar real estate value yake ni $12B wakati Nairobi ni $9B, kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo, ukiwekeza hiyo $12B hapo Nairobi, hasi Kibera itakuwa kama Rhunda au Karen
Rwanda hata entrainment tv ni zetu kwanini tusisikilizweNafikiri utasema Nigeria. south africa........na Rwanda uwezi nindanganya..,....nyie mnasikizwa Kenya 2 alafu mnajiita international...ukalubandika 2
Condolences to the affected families.Pole sana to the families of the deceased in Rwanda and to Rwandese in general.Sad
View attachment 711442
The honest Tanzanians who've travelled know that Dar is no match for Nairobi......utajaliwa ufike tu siku moja ufyate mdomo......hahaha.we are not ranked a non ldc country by mistake......take a honest look at yourselves and start working harder ....slandering Kenya and Kenyans on grapevine sites like jamii forum won't helpUnazungumzia avic? Dar Ni mji mkubwa sio huo uchochoro wenu nbo ukishatoka CBD mji umeisha, unatoka boko hadi unafika kijitonyama ni nyumba tu mishemishe hakuna pori sasa ulidhan tunategemea mzungu ndio kuwe na nyumba umetaga
Watch KTN HOME nowUnazungumzia avic? Dar Ni mji mkubwa sio huo uchochoro wenu nbo ukishatoka CBD mji umeisha, unatoka boko hadi unafika kijitonyama ni nyumba tu mishemishe hakuna pori sasa ulidhan tunategemea mzungu ndio kuwe na nyumba umetaga
No match ni jozi au cape town pekeeThe honest Tanzanians who've travelled know that Dar is no match for Nairobi......utajaliwa ufike tu siku moja ufyate mdomo......hahaha.we are not ranked a non ldc country by mistake......take a honest look at yourselves and start working harder ....slandering Kenya and Kenyans on grapevine sites like jamii forum won't help