Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Mbona huoni ya crdb iliyoshuka kutoka 153 billion tsh to 95 billion tsh? Kweli nyani haoni kundule, leo ndo nimeamini. Alafu profit ya kcb haikushuka, it stagnated. Najua wewe ni mjinga wa mwisho lakini tafuta maana ya neno "stagnate". kama huwezi kutumia akili uliyopewa na Mungu, Google ni free kutumia.na hio 19b ukae ujue imeshuka kcb ilia inatengeneza profit kubwa kuliko hiyo so kwann kila sector kwenu haifanyi vzr tatizo nn??????????????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀