Kweli kabisa.....hawa washikaji wa humu wakikenya ib reality wamezidiwa sana na wanawake zao wakikenya yaani boys wakikenya ni lazy sanaBut I like Kenyans for the way they are so creative, yaani even in their hotels for sure you will not regret, Especially ladies huwa ni wachangamfu sana, Tz ladies are so polite and when it comes to business they lack some marketing skills and Creativity,
All moments ave been to Kenya sikuwahi kuwa disappointed,
Tatizo lenu hasa ni too much know, hata kama kitu hukijui utalazimisha uonekane unakijua mwishowe unakuwa kituko sasa mbele ya wajuvi wa mambo, na nadhani hili hata wanasiasa wenu wanalo sana ndio maana mnaingizwa mkenge daily,
Be humble, know all the facts before arguing, kuna wakati hunilazimu nianze kuwafanyia lecture sababu hamjui halafu mnabaki kupotoshana, unakuta jitu linapotosha umma mbele yako inabidi tu uingilie kati,
Mnapenda sana Ku criticise, wengi wenu, hata nyinyi kwa nyinyi,
In Kenya I must admit that Ladies are stronger than men in Almost All aspects.
hzi ndio nyumba wanaishi watu
View attachment 708139
hii ni nyumba au hotpot,
mbona kilapande bati, daa ndo adhari ya uchumi wa nchi kushikiliwa na kikundi cha watu wachache loohblablabla.mnajipostia kisha mnajipigia makofi.......
lol.
na kuandika "Kenya mtaisoma namba ya LDC "fourth world country......

they say if you can't beat them join them.
they have realized their music is very local and can't reach far without participating with tanzanians, that's they keep coming. asenteni kwa kuja.karibuni tena.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 710621View attachment 710622View attachment 710623View attachment 710624
Diamond Platnumz ameshinda Nairobi sa hii wiki nzima akila bata, anangoja launch ya album yake 'A Boy From Tandale' next week na hatusumbui.they say if you can't beat them join them.
they have realized their music is very local and can't reach far without participating with tanzanians, that's they keep coming. asenteni kwa kuja.karibuni tena.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 710621View attachment 710622View attachment 710623View attachment 710624
oops, nilidhani unasema amekuja kufanya collabo na mwanamziki wa kenya. kumbe amekuja kwa ajiri ya uzinduzi wa albam yake?.Diamond Platnumz ameshinda Nairobi sa hii wiki nzima akila bata, anangoja launch ya album yake 'A Boy From Tandale' next week na hatusumbui.
Benjamin Fernandez pia tulishinda naye hapa two weeks ago na tumetulia tu.


... huku tz watu wachache sana wanamfahamu.binafsi najua ni mtoto wa mchungaji, zaidi ya hapo sijaona impact yake kwa taifa hili zaidi ya porojo zake za kusoma USA.