Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

miaka 50 maendeleo ya gor mahia ni haka kagari isuzu body ya kuchonga😀😀😀😀😀 haina ofisi wala banda la choo
3B1F2466-B73B-403E-8C3C-E4707FE66D24.jpeg
 
Wakenya!! Mambo!! naona sasa mmeishiwa point mmeanza kukia lia kama vitoto vya chekechea.
 
That is a typical Tanzanian speaking...they are alqays full of denial. Sasa leo unataka kukana kwamba hakuna mahali Nyerere wenu alisema mkitaka kuenda ulaya mje tu Nairobi? Nway, that's past tense now. Kw hizo vitu zote ulizotaja, hebu niletee source inyadhibitisha kwamba watanzania wanapata maji safi ta kunywa kuliko wakenya, kwamba wako na chakula kingi kuliko Kenya, kwamba mko na huduma bora za afya kushinda Kenya, Kwamba Tanzanians enjoy good security compared to Kenyans etc etc. Kama huwezi dhibitisha hayo, basi claims zako zitabaki kuwa ndoto za hekaya
Nyerere na Kenya wapi na wapi jamani? Nyerere labda aongelee Mozambique, SA, Namibia, Ghana etc huko Kenya hata hajawahi kukanyaga



Nyerere was classic and unique
 
Hehehheeh render thanks bro for render
I wish we had a render of a promising project like this one in Tz... You people so busy following on our news en all,yakwenu hata hatufuatilii. Wasanii wenu wanawaambia kila saa "mpambane na Hali yenu." Bros We and You ain't equal. Period.!!
 
Back
Top Bottom