Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

fuel up and electricity up 😀😀😀
4B537537-2B40-4594-A998-70646EFBEC92.jpeg
 
Mnatetea wenzenu wa kwenye social media!! halafu mnajiona very brave..!! Kwanini hizo nguvu msinge zitumia ku tetea wakina mama wa Nairobi wanao bakwa hosp baada ya kujifungua. Mnakua majasili nyuma ya keyboards tu!! no wonder you never got your hands dirty during Africa Independence struggle. Mlikaa mkitizama Wanaume wakipambana uku nyinyi mnaramba miguu ya mzungu.
stupid danganyikan. Wakati kenya ikipata uhuru wewe na nyanyako ndo mlitupagania vita?
 
ndio team east africa isiokua na mafanikio africa mashariki😀😀😀😀😀😀 haina ofisi haina uwanja gari yenyewe tia maji tia maji😀😀😀😀😀😀😀😀
Isiyokua na mafanikio? Wacha nikuelimishe kigodo nwarabu wa tandale, Gor Mahia has won the Kenyan premier league more than any other team. It is the only east african team to ever win a continental title. Hii itakuwa ni ndoto ya mchana kwa yanga na simba. At the moment, Gor mahia is playing in the African Champions league wakati Simba yenu inacheza confederations cup. Lastly, Gor mahia is the only team in this region to ever play a friendly game with an English top tier team; they played Everton Mid last year even though they lost the match. Niendelee au umetosheka?
 
Sasa hayo maendeleo mbona hawayatumii kujiendeleza kama kuboresha vyoo na kuboresha usafiri na makao makuu yao.
 
Isiyokua na mafanikio? Wacha nikuelimishe kigodo nwarabu wa tandale, Gor Mahia has won the Kenyan premier league more than any other team. It is the only east african team to ever win a continental title. Hii itakuwa ni ndoto ya mchana kwa yanga na simba. At the moment, Gor mahia is playing in the African Champions league wakati Simba yenu inacheza confederations cup. Lastly, Gor mahia is the only team in this region to ever play a friendly game with an English top tier team; they played Everton Mid last year even though they lost the match. Niendelee au umetosheka?
Kuhusu kucheza na timu ya EPL nenda kajipange upya. Simba imeshafanya hivyo kabla hujazaliwa.
 
Kiuchumi, kimaendeleo, kielimu, kisiasa...kila kitu
uchumi upi wakupika au😀😀😀
maendeleo kama yapi slums na unemployments
elimu ipi ya kupasua wagonjwa vichwa ambao hawahusiku😀😀😀
siasa zipi za ukabila au?????😀😀😀😀
 
Isiyokua na mafanikio? Wacha nikuelimishe kigodo nwarabu wa tandale, Gor Mahia has won the Kenyan premier league more than any other team. It is the only east african team to ever win a continental title. Hii itakuwa ni ndoto ya mchana kwa yanga na simba. At the moment, Gor mahia is playing in the African Champions league wakati Simba yenu inacheza confederations cup. Lastly, Gor mahia is the only team in this region to ever play a friendly game with an English top tier team; they played Everton Mid last year even though they lost the match. Niendelee au umetosheka?
ikwapi ofisi tujue ni team iko vzr inafanya maendeleo katika nyanja zote heheh bus lenyewe ndio lile yani muna umaskini nyie sijapata kuona😀😀😀
team inamiaka zaidi ya 50 haina hata ofisi wala banda la choo, haina hata uwanja wakusingiziwa

revenue zinazoingizwa na team za tanzania nyinyi mutasubiri miaka 800 yani stands utd ni team ya juzi tu ila ina budget na maendeleo makubwa kuliko gor mahia
 
Back
Top Bottom