That is a typical Tanzanian speaking...they are alqays full of denial. Sasa leo unataka kukana kwamba hakuna mahali Nyerere wenu alisema mkitaka kuenda ulaya mje tu Nairobi? Nway, that's past tense now. Kw hizo vitu zote ulizotaja, hebu niletee source inyadhibitisha kwamba watanzania wanapata maji safi ta kunywa kuliko wakenya, kwamba wako na chakula kingi kuliko Kenya, kwamba mko na huduma bora za afya kushinda Kenya, Kwamba Tanzanians enjoy good security compared to Kenyans etc etc. Kama huwezi dhibitisha hayo, basi claims zako zitabaki kuwa ndoto za hekaya