joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Majirani zetu kazi yao ilikuwa kusaidiana na wakoloni kuzikandamiza nchi za kiafrika. Ndio maana kunajaama mmoja mkenya mweusi alikuwa anawachukia sana waafrika alikuwa najiona yeye ni mzungu wakati ni mweusi tii.