Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans it seems Collo has been Banned. We should seize to comment on this Site till he comes back.. The Admin are not fair, when they post shit towards Kenyas no one is banned but as soon as Kenyans do the same, it does not take aminute.. Comrade power
Collo yuko na kazi sio kama wewe jobless
 
Nimesema kama kuna mtu anaweka post mbaya, ni jukumu la mtu yeyote kuripoti kwa mods, iwe katika individual level, kwani hao watanzania wanao report kwa mods ni wote kwa wakati mmoja, si ni mtanzania mmoja tu kama inamgusa yeye binafsi ndiyo anaripoti, umeshasikia watanzania wameungana na kusema hawa wakenya wafungiwe?. Tatizo huko kwenu kuna ukabila sana, kila jambo mnaliweka katika makundi makundi na kuanza kulindana hata kama kweli mtu amefanya kosa.


Tuko na ukabila ndio maana twaungana Ku protect watu wetu hapa against cheap intimidation. katika Tanzania nzima kama kuna mtu hakuzaliwa kwa kabila ajitokeze hapa wazi aseme.
 
Back
Top Bottom