Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watafikiria mall saa ngapi
f159637e1552e7b958dcf8544a4eb20e.jpg
b3a6c53cb7cc3fbfd80071f9492f8978.jpg
40193d29704e44562c8448b6e0f5fb9f.jpg
0507049c1b401d9fcf7709665058a623.jpg
793f678ff460d5fb18179aba6da3a104.jpg
ukiniletea ushahidi kua hapa ni dar nakupa dada yangu bure usiache tafadhali😀😀
A7E61D41-8765-4E55-8144-480E0277A13B.jpeg
 
Acha kichefuchefu ya mimba wewe,unajua huu ni upande gani wa hiyo mall mpaka utake kuona hizo pre-opening activities???

Huo ni upande wa parking ya ukumbi wa mikutano,kuona gari hapo mpaka kwingine kujae,huwa ni mchana mpaka jioni.hiyo ni mall mashuhuri sana kijana.

Ati Nyef Nyef! 😀😀😀 Kumbe sio mall, ni ukumbi wa mikutano.
 
heheh ukweli unauma enhh tatizo lenu nyinyi ukweli hamuupendi yani muko tayari kufa kisa sifa tu😀😀

go on showing us renders plz😛😛 povu ruksa
Wewe ujinga mob ndo inakusumbua. Unafikiri unajua kumbe hakuna unachojua. Wakati unasema hass na pinacle ni company mbili tofauti nani mjinga? I repeat here: Hass consultant is constructing a building they have given the name pinnacle. Sawa mwarabu wa Tandale?
 
uhahahaha go on posting renders plz😀😀😀
so where is pinnacle??? tuoneshe
 
Back
Top Bottom