Investors wanaangalia nchi ambayo uchumi wake ni mzuri, nchi ambayo kuna pesa na watafanya biashara, sasa hivi katika ukanda huu, ni Ethiopia na Tanzania pekee ambazo zinavutia uwekezaji, kumbuka Mohamedi Dewji a Tanzania businessman is the richest person in East and Central Africa, lakini hafikirii kuja kuwekeza Kenya kwa sababu uchumi wenu unakufa, hauna uwezo wa kushikilia kampuni zake. In short every country tries to attract investors, it is only those countries that their economies are doing very well where investors will go, for this Kenya is a loser. More FDI, more jobs, more taxes, more money.