Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1C961F7F-7746-4254-89DC-917DF8DAC5D9.jpeg
 
Ok man from shithole country hii century watu wanakunya kwa mfuko ma youth yenye nguvu za kuchimba toilet yanakunya kwa sewage na kwa mfuko even zombie can't do such kind of rubbish.Hujawahi kunya kwa sewage hapo CBD Elmatador?? Sema kweli hakuna anayejua sura yako huku kwa jamii forum
wakati fulani nikiwa nakatiza katika mitaa ya nairobi CBD, nilishawahi kukutana live na kinyesi cha binadamu.

ilikuwa ni katika mtaa wa river road nyuma au mbele ya zilipo office za mabasi ya dar express na saibaba. haya ni mabasi maarufu ya kitz yanayo safiri kila siku dar to nairobi and vice versa.pia ni mtaa ambao zinapatikana offices za mabasi ya kwenda coast(mombasa).

kwa waliofika nairobi na kulifahamu jiji vizuri bila shaka wanaufahamu mtaa huu wa river road na vibweka vyake.

huu ni mtaa wenye machokoraa wengi na wakora wa kila aina. ni mtaa ambao machokoraa hulala baada ya pilika zao za mchana. wengi wa machokoraa katika mta huu hunya hovyo na kusababisha kuzagaa kwa kinyesi pembezoni mwa kuta za majengo.

this information is true cos nimeishuhudia mimi mwenyewe kwa macho yangu. najua wakenya wanajua ukweli huu, ila kama kawaida yao lazima watatoa povu while in denial.
 
Haha iyo picha inakufanya ujikojolee
328750100427b0be28d650e4673106bc.jpg
Mzee baba hiyo kambi ya wakimbizi asee.....

Dar kuna hohehahe lkn sio wakuishi nyumba km za kibera mzee baba....

Hiyo picha sio mahali pake...

Halafu kwanini mng'ang'anie kua Dar kuna slum...!!!?

Kwani UN na wengine hawajui km Dar kuna slum...!!! si wangei categorize km ni slum city ili kila mtu ajue ukweli km ilivyo kwa Kibera...

Kazi kukazana kuokoteza picha na kung'ang'ania Slum, Slum, Slum...

No slum in Dar, hutaki nenda UN....

PERIOD....
 
Swimming competition hapo Slum city of Dar ni lini? Naskia its an annual event hadi mnaogelea mkielekea maofisini.
 
dunia ya leo utamdanganya nani kaka kila mtu mjuaji huku globalization imetawala nani utamdanganya

kwan umesahau walidanganya dunia mt kilimanjaro na olduvai iko kenya hehhe kipi kimetokea wameumbuka wanazidi kutapatapa😀😀😀😀😀😀
through globalization tumejua Dar in mji kitongoji duni kuwa asilimia 92%.
 
Mzee baba hiyo kambi ya wakimbizi asee.....

Dar kuna hohehahe lkn sio wakuishi nyumba km za kibera mzee baba....

Hiyo picha sio mahali pake...

Halafu kwanini mng'ang'anie kua Dar kuna slum...!!!?

Kwani UN na wengine hawajui km Dar kuna slum...!!! si wangei categorize km ni slum city ili kila mtu ajue ukweli km ilivyo kwa Kibera...

Kazi kukazana kuokoteza picha na kung'ang'ania Slum, Slum, Slum...

No slum in Dar, hutaki nenda UN....

PERIOD....
comrade
usipoteze mda wako kumuandika maneno mengi mtu kilaza?.kwa kawaida vilaza kama hawa unawajibu kwa sentence mbili tu.
 
Back
Top Bottom