Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kahawa shuge
5d6307c470ca0ba96123a9906bc5470d.jpg
276b048ca84201f1fc261760d47f5a8e.jpg
34140e741b4b969be5bc6afe91755a56.jpg
e51e81624f46bda5117bfd713244ef76.jpg
de7372602a2109467a3d229bae323d27.jpg
hao mafundi waliovijenga hivyo vibanda mbona kidsign wana zero..aisee ni vibaya
 
forget the hashtags, even places, instagram does not locate you to any slum places for dar es salaam, that means there are no slums in dar. but instagram does so for nairobi.

haki instagram haitaki ujinga...nimecheka yangu yote.

d92ba250be270e74c7040320edf39b50.jpg
80bf331f867407705408fa9d2eb2bc9b.jpg
few tanzanians can access the net thanks for proving that
 
umesahau Abedy ngosso a Tanzanian chose to stay in Kenya to do music...

Christina shusho pia alihamia Kenya akahepa LDC....

Nyuki pia alihepa tz kufanya mziki Kenya....

Alikiba pia ni kama amehamia Mombasa.......

Diamond pia kila weekend lazma aje pool party Kenya .....

Oh Ommy Dimpoz pia aliishi huku pamoja na Venessa Mdee.....

as I said...matusi mtarusha lakini mtakuja tu in the most developed country in East and central Africa....

hata joto la jiwe najua anapanga kuja Kenya....Hahaha.Mje wote tunywe tusker.....my fren.....ama namna gani..."in William kipchirchir Samoei Ruto's " voice....
unadhani uko wanakuja bila sababu ya msingi....hao ni wafanya biashara ya mziki hivyo wakipata dili la show ndiyo wanakuja..

wacha ushamba
 
90% from uganda our main trade partners
Kwikwikwikwi. Unahaha sana, mmeanza lini kuwa na partnership na uganda. Unakumbuka migingo? Unakumbuka jinsi mlivong'oa reli ili uganda wasipitishe mizigo? Unakumbuka EPA? Unakumbuka bomba la mafuta? Kenya mko pekee yenu kwa sasa kila mmoja anawatenga.
 
Uganda and kenya is one ata mabro hukosana kiasi but uganda is our bae
 
Kwikwikwikwi. Unahaha sana, mmeanza lini kuwa na partnership na uganda. Unakumbuka migingo? Unakumbuka jinsi mlivong'oa reli ili uganda wasipitishe mizigo? Unakumbuka EPA? Unakumbuka bomba la mafuta? Kenya mko pekee yenu kwa sasa kila mmoja anawatenga.
Kijana si uko obsessed na Kenya. Unajua mpaka news za 2000s?? Mamen, kujia citizenship
 
It's not about how grand the buildings are,you moron! Just Google Kijabe Mission Hospital and you'll retract your nonsensical comment!
Nime google Kenyan hospitals nime kutana na habari za wakina mama wajawazito kuwa raped wakiwa hosp!!! i had to stop , not cool at all, hw can one do that!!! Your advice has ruined my morning aaarrgggh
 
sasa mimi naleta links wewe unaongea tu kisha unaniambia mi sina facts? haha
Top 10 African Countries With The Best Military - AfrikanFacts.com
kuna vitu....vipo wazi.....na hata wewe unajua mfano mdogo tu nisiende mataifa ya mbali tanzania tumepigana vita vya taifa nakumchapa uganda chini ya idd amin dada.......inamaana hilo haulijui?,,

swali linakuja ivi ni vita gani ya kitaifa ambayo jeshi lenu la kenya limepambana?....

halafu uache utoto...jibu kwa kujitambua.....rank yenu siyauthibitisho wa mapambano....mliyopambana kamataifa
 
Back
Top Bottom