joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Waulize hao wanaotoa hizo ranks, hata mimi sijuiNdugu yangu naomba unieleze failed state yamaanisha nini.
Ni kama fishing village ama? Sielewi
Kenya ranked as 'failed state'

Waulize hao wanaotoa hizo ranks, hata mimi sijuiNdugu yangu naomba unieleze failed state yamaanisha nini.
Ni kama fishing village ama? Sielewi

What does it mean to be a failed state joto la jiwe?
TPF, MNF sijui na BFFName me the three buildings
Mtanzania anayekuja Kenya lazima atakuwa na matatizo kama hao ombaomba, haiwezikani uache modern, civilized, calm, peaceful, economically vibrant country na uamue kwenda kuishi katika nchi iliyopo katika list ya failed states.
Kenya ranked as 'failed state'
Ooh in short tuseme wewe uko na shida kwa sababu unapost tu vitu hujui?
Hilo ni jina langu original kabisa, vipi umelipenda?What does it mean to be a failed state joto la jiwe?
A personal question, joto la jiwe ni jina yako official ama ni nickname?

Then nichague font ganiHaha its good you took this advice.
So if your phone is android which most definitely is, just go to settings >display >font settings /change font.
Or settings > font
umesahau Abedy ngosso a Tanzanian chose to stay in Kenya to do music...
Christina shusho pia alihamia Kenya akahepa LDC....
Nyuki pia alihepa tz kufanya mziki Kenya....
Alikiba pia ni kama amehamia Mombasa.......
Diamond pia kila weekend lazma aje pool party Kenya .....
Oh Ommy Dimpoz pia aliishi huku pamoja na Venessa Mdee.....
as I said...matusi mtarusha lakini mtakuja tu in the most developed country in East and central Africa....
hata joto la jiwe najua anapanga kuja Kenya....Hahaha.Mje wote tunywe tusker.....my fren.....ama namna gani..."in William kipchirchir Samoei Ruto's " voice....
Who is Abedy Ngoso?umesahau Abedy ngosso a Tanzanian chose to stay in Kenya to do music...
Christina shusho pia alihamia Kenya akahepa LDC....
Nyuki pia alihepa tz kufanya mziki Kenya....
Alikiba pia ni kama amehamia Mombasa.......
Diamond pia kila weekend lazma aje pool party Kenya .....
Oh Ommy Dimpoz pia aliishi huku pamoja na Venessa Mdee.....
as I said...matusi mtarusha lakini mtakuja tu in the most developed country in East and central Africa....
hata joto la jiwe najua anapanga kuja Kenya....Hahaha.Mje wote tunywe tusker.....my fren.....ama namna gani..."in William kipchirchir Samoei Ruto's " voice....
Yenye unapenda tu. Ama yoyote isipokuwa hio unaitumia, hio ni kama waibrania waliitumia joh. Wakiandikia wakolosai.Then nichague font gani
Fail maana yake ni kushindwa, a failed state maana yake ni nchi iliyoshindwa kutimiza vigezo vya kimataifa vilivyokubalika ili nchi iweze kuheshimika na kukubalika duniani, ni nchi iliyoshindwa kutimiza majukumu yake kwa wananchi wake, na majukumu ya kimataifa.Ooh in short tuseme wewe uko na shida kwa sababu unapost tu vitu hujui?
Manze ni jina fiti, lakini najaribu ku imagine sasa wasee mtaani wanakuitanga aje?Hilo ni jina langu original kabisa, vipi umelipenda?![]()
![]()
Kwa hivyo kenya haikubaliki duniani?Fail maana yake ni kushindwa, a failed state maana yake ni nchi iliyoshindwa kutimiza vigezo vya kimataifa vilivyokubalika ili nchi iweze kuheshimika na kukubalika duniani, ni nchi iliyoshindwa kutimiza majukumu yake kwa wananchi wake, na majukumu ya kimataifa.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
kumbe hata wewe ume notice. safi sana.Yenye unapenda tu. Ama yoyote isipokuwa hio unaitumia, hio ni kama waibrania waliitumia joh. Wakiandikia wakolosai.

Wananiita Jiwe kwasababu huwa nikimpiga mtu ngumi, ni kama amepigwa kwa jiwe, kwa ufupi mimi ni jitu la mazoezi, kifua ni kama ukuta wa nyumba, na ngumi yangu ni kama jiweManze ni jina fiti, lakini najaribu ku imagine sasa wasee mtaani wanakuitanga aje?
Joto ama Jiwe?
bila shaka ni mwanamuziki wa zamani wa band ya les wanyika.
Wananiita Jiwe kwasababu huwa nikimpiga mtu ngumi, ni kama amepigwa kwa jiwe, kwa ufupi mimi ni jitu la mazoezi, kifua ni kama ukuta wa nyumba, na ngumi yangu ni kama jiwe![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app

Haikubaliki kuwekwa kundi la nchi ambazo hazijashindwa, ndiyo sababu imewekwa katika kundi ya nchi zilizoshindwa, lengo ni ili iweze kusaidiwa kujinasua katika kundi hilo.Kwa hivyo kenya haikubaliki duniani?
Wasee tuende Mars.